Vijana 80 huambukizwa UKIMWI kila siku nchini

0
Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI imeeleza kwamba vijana 80 huambukizwa Virusi vya UKIMWI kwa siku, kwa mwezi ni vijana 2400, sawa na maambukizi 28,800 kwa mwaka.Kamati imetoa takwimu hizo wakati ikiwasilisha taarifa...

Wafanyabiashara watakiwa kuitumia FCC wanapouziwa bidhaa bandia

0
Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe amewataka wafanyabiashara na walaji kuwasilisha malalamiko Tume ya Ushindani (FCC) mara wanapobaini wameuziwa bidhaa bandia.Kigahe alisema hayo alipokuwa akijumuisha maoni na mapendekezo ya Wajumbe wa Kamati ya...

Waziri Mkuu : Tupo tayari kuwatumikia Watanzania

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuahidi Rais Samia Suluhu Hassan kuwa yeye pamoja na Mawaziri na Naibu Mawaziri wote watafanya kazi kwa nguvu zao zote katika kuwatumikia Watanzania.Akizungumza Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa hafla...

Rais Samia awaongoza Watanzania katika maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru

0
Rais Samia Suluhu Hassan, leo amewaongoza Watanzania katika sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.Sherehe hizo zimehudhuriwa na wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wastaafu...

Waliojiandikisha kuhama Ngorongoro waongezeka

0
Idadi ya wakazi wanajiandikisha kuhama kwa hiari kutoka katika hifadhi ya Ngorongoro inaendelea kuongezeka, huku awamu ya pili ya kuwahamisha wananchi walio tayari kuhama kwa hiari ikitarajiwa kuanza Alhamisi wiki hii.Wananchi...

Mgodi wa kokoto wa Tan- Turk wafungwa

0
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko ameufunga mgodi wa kokoto wa Tan- Turk ulipo katika kijiji cha Mindutulieni wilayani Bagamoyo  mkoani Pwani  hadi  hapo mmiliki wa mgodi huo atakapowalipa fidia wananchi wanaozunguka mgodi huo.Naibu Waziri...

Rais Samia azindua miradi ya maendeleo Kigoma

0
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua hospitali ya wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, ambayo ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 2.9.Hospitali hiyo ina uwezo wa kuhudumia zaidi ya wananchi elfu mbili kwa siku.Rais Samia Suluhu Hassan...

Utoaji vibali vya uchimbaji madini wasitishwa

0
Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ametangaza kusitisha utoaji wa vibali vya uchimbaji wa madini nchini humo hadi hapo ofisi ya Msajili wa Madini ya nchi hiyo itakapofanya ukaguzi wa mahesabu...

Rais Magufuli kuchukua fomu ya uteuzi wiki hii

0
Rais wa Tanzania ambaye pia ni mgombe wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) atachukua fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo wiki hii jijini Dodoma.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar...