Wamiliki wa Seattle Sounder kuinua michezo Tanzania

0
Kampuni ya kimataifa ya Vulcan Inc. kupitia kampuni yake tanzu ya Vulcan Arts and Intertainment imeeleza utayari wake wa kusaidiana na serikali ya Tanzania katika kuinua sanaa na michezo.Hayo yameelezwa na mkurugenzi mwandamizi...

Wanajeshi wa JWTZ waenda kutoa lori lililotumbukia Mto Wami

0
Jeshi la Wananchi wa Tanzania limetuma timu ya wataalamu kwenda kutoa lori la mizigo ambalo limetumbukia katika Daraja la Mto Wami kwa zaidi ya wiki moja na kushindikana kutolewa .Kiongozi...

TASAC yazimulika bandari za Ziwa Tanganyika

0
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wameanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuufanya mkoa Kigoma kuwa kitovu cha biashara kwa mikoa ya magharibi na nchi za maziwa makuu...