Wabunge wa Uganda watembelea TCRA kujifunza

0
Wabunge kutoka Uganda na maofisa wa masuala ya Teknolojia ya Haabari na Mawasiliono (TEHAMA) wa nchi hiyo wametembelea Ofisi Kuu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ili kujifunza jinsi Tanzania inavyosimamia sekta ya mawasiliano...

Sasa tunauza nyama Dubai, Saudi Arabia

0
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameisaidia wizara hiyo kupandisha bajeti kutoka shilingi bilioni 66.5 mwaka 2021/2022 hadi bilioni 295.9.Hatua hiyo...

Jitokezeni uzinduzi Mbio za Mwenge

0
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Mbio za Mwenge wa Uhuru zitazinduliwa Aprili 2, 2024 na hivyo amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kwenye uzinduzi...

𝘼𝙛𝙮𝙖 𝙣𝙞 𝙢𝙩𝙖𝙟𝙞, 𝘼𝙛𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙙𝙞𝙟𝙞𝙩𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙑𝙤𝙙𝙖𝘽𝙞𝙢𝙖.

0
Kata bima yako ya Afya kupitia simu yako ya mkononi popote ulipo kuanzia Tsh 70,000 tu kwa mwaka unufaike na watoa huduma zaidi ya 300 walioenea nchi nzima.Tumia M-Pesa App au piga 15000# >Huduma...

Wasichana wanawezeshwa bila wavulana kuachwa nyuma

0
Mratibu wa Mpango wa Shule Salama kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hilda Mgomapayo amesema Mpango wa Shule Salama kupitia mradi wa SEQUIP umejikita katika kuwezesha wasichana kupata...

Upokeaji maoni nguzo kuu ya utawala bora wa taasisi

0
Riaz Abedi kutoka Idara ya Elimu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) amesisitiza kwamba mfumo wa kupokea malalamiko shuleni ni kigenzo muhimu cha utekelezaji wa mradi wa Shule Salama...

TBC yashiriki upandaji miti 500 Mwanza

0
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kushirikiana na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) wamepanda miti 500 katika Shule ya Sekondari Bulale iliyopo katika Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza.Akizungumza wakati wa zoezi la kupanda miti...

Kero za muungano zinaisha

0
Taarifa na Happyness HansWaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Dkt. Suleiman Jafo, amesema kero chache takribani nne ambazo zimebaki kwenye muungano unaofikisha miaka 60, zinaendelea kupatiwa ufumbuzi.Waziri Jafo ameyasema...

Muungano umekuwa chachu ya amani, maendeleo

0
Taarifa na Happyness HansWaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Suleiman Jafo amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umekuwa chachu katika kuleta amani, utulivu, mshikamano na maendeleo kutokana...

Ulinzi na usalama kwa watoto hauridhishi

0
Mkufunzi kutoka Chuo cha Ualimu Mpwapwa, Juma Kizija amesema hali ya ulinzi na usalama wa wanafunzi wa shule za awali, msingi na Sekondari nchini sio ya kuridhisha sana kwa kuwa bado vitendo vya unyanyasaji...