Nchi ndogo zaidi duniani, ina Raia 30
Molossia ni nchi iliyojitambulisha yenyewe kuwa nchi na hivyo kuwa nchi ndogo zaidi duniani yenye raia 30 na wanayama aina ya mbwa wanne pekee.Nchi hiyo imeanzishwa mwaka 1977, inapatikana mashariki mwa jimbo la Nevada...
Faida za kiafya za kuvaa kipini
Uvaaji kipini ni moja ya urembo unaopendwa sana na wanawake wa jamii mbalimbali.Kwa miaka ya hivi karibuni kipini kimeendelea kuvaliwa sana, huku utoboaji ukifanyika katika maeneo mbalimbali ya pua ili mradi tu...
Njombe yakamilisha sensa
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema mkoa huo tayari unekamilisha zoezi la sensa ya watu na makazi.Mtaka ameyasema hayo wilayani Makete alipofika kukagua zoezi hilo, ikiwa ni wilaya mwisho...
CHADEMA yaweka pingamizi dhidi Mdee na wenzake
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewawekea pingamizi mahakamani wabunge 19 wa viti maalum, waliovuliwa uanachama wa chama hicho ambao kwa pamoja wamefungua maombi kupinga kufukuzwa uanachama wao, huku kikiwasilisha hoja...
Tanga yakabiliwa na kesi nyingi za dawa za kulevya
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma amesema mkoa wa Tanga unakabiliwa na changamoto ya uwepo wa kesi nyingi za dawa za kulevya pamoja na kesi za mashauri ya mirathi.Profesa Juma ametoa kauli...
Mrema afunga ndoa na Doreen
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema leo Alhamisi Machi 24, 2022 amefunga ndoa na Doreen Kimbi katika kanisa Katoliki Parokia ya Uwomboni Kiraracha mkoani Kilimanjaro.Mke wa mzee Mrema anayejulikana kwa...
Ulaji mzuri wa chakula kwa Wanamazoezi
Moja kati ya elimu kubwa inayotolewa kwa umma ni pamoja na umuhimu wa kufanya mazoezi kwa afya imara japokuwa sehemu moja inayosahaulika ni namna bora ya kula kwa wafanya mazoezi.Kila mmoja anayefanya mazoezi ana...
Kifafa na Imani za kishirikina
Mara kadhaa wagonjwa wa kifafa wamekuwa wakikosa hudumu stahiki kutoka kwa jamii inayowazungukwa kutokana na dhana potofu juu ya ugonjwa huo na kukosekana kwa elimu ya kutosha kuhusu ugonjwa wa kifafa.Kifafa ni maradhi yanayoathiri...
Kwa nini wanaoathirika zaidi na picha za utupu ni wanawake?
Tunaishi kwenye ulimwengu wa kidigitali, ulimwengu huu hutufanya sote kwa wakati fulani kuwa katika mstari wa kuwa wahanga wa matukio ya picha au video zetu kusambaa mitandaoni bila ridhaa yetu ikiwa tu hatutakuwa makini....
Mchakato wa kumpata Makamu wa Rais
Kufuatia kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Machi 19, 2021, nafasi ya Makamu wa Rais imebaki tupu.Rais Samia alikuwa akishikilia nafasi hiyo ya Makamu wa Rais tangu mwaka...