Japan kuendelea kushirikiana na Tanzania

0
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt  Philip Mpango  ameiomba Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa la Japan (JICA), kusaidia upatikanaji wa fedha kwa njia ya mikopo nafuu kwa ajili ya...

Rais Samia ahesabiwa Chamwino

0
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na karani wa sensa Phausta Ntigiti, wakati alipokuwa akihesabiwa katika makazi yake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Agosti 23, 2022.

Vyombo vya ulinzi viendelee kushirikiana.

0
"Tumezungumza masuala ya ulinzi na usalama na tukakubaliana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viendelee kufanya kazi kwa pamoja ili tuhakikishe usalama kwenye nchi zetu, lakini pia kwenye ukanda wa Afrika Mashariki," Rais Samia...

Corona: Zanzibar wagonjwa 36 wapona wengine 7 waongezeka

0
Waziri wa Afya visiwani Zanzibar, Hamad Rashid ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya saba wenye maambukizi ya virusi vya corona.Ongezeko hilo linafanya idadi ya waathirika wa homa ya mapafu (COVID-19) visiwani humo kufikia 105 kutoka...

Watendaji wa TBC watembelea hifadhi ya Mikumi

0
Watendaji wa kitengo cha habari za mtandaoni cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) (Tbconline), wamefanya ziara ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Mikumi, kujionea vivutio mbalimbali vinavyopatikana katika hifadhi hiyo.Miongoni mwa vivutio ambavyo Watendaji...

Makonda ataka kiandikwe kitabu kutambua kazi za Rais Magufuli

0
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, - Paul Makonda amemuomba Rais John Magufuli kama ataridhia, kiandikwe kitabu kitakachomtambua kama Mwanamapinduzi wa uchumi katika nchi yake ndani ya Bara la Afrika.https://www.youtube.com/watch?v=NAi8NFfbXn4&feature=youtu.beAkitoa salamu...

Zanzibar yasitisha safari za baharini

0
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesitisha usafiri wa baharini na shughuli nyinginezo za baharini kuanzia leo Jumamosi, saa tatu asubuhi hadi pale taarifa nyingine zitakapotolewa na mamlaka husika.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili...

Wadau watoa ushauri kwenye sekta madini

0
Wadau wa sekta ya madini nchini wameishauri serikali  kuwawezesha wachimbaji wadogo wa madini kwa kuondoa kodi mbalimbali ambazo zimekua zikiwaumiza ikiwa ni pamoja na Kodi ya Ongezeko la thamani (VAT).Wadau  hao wametoa  ushauri huo jijini Dar es...