Tumekuja kuliombea Taifa

0
Maelfu ya Watanzania wamefika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kwa ajili ya kushiriki kwenye maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano.

Maombi ya kuliombea Taifa Dodoma

0
Baadhi ya Watanzania waliofika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma yanapofanyika Maombi na Dua ya kuliombea Taifa kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wakiendelea na maombi hayo.Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anawaongoza...

Mtoto wa Gardner msibani Leaders

0
Mtoto wa Mtangazaji wa Clouds FM marehemu Gardner Habash, Kareen Habash akiwa katika viwanja vya Leaders Club mkoani Dar es Salaam ambapo ndugu, jamaa na marafiki wanatoa heshima za mwisho kwa mtangazaji huyo.Gardner alifariki...

Maombi na Dua ya kuliombea Taifa

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma ambapo anawaongoza Watanzania kwenye Maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano.Watu...

Kibaha haikukidhi vigezo kuwa Manispaa

0
Serikali imesema ilipokea wasilisho kwa mara ya kwanza mwaka 2016 na kuchambua kwa kuzingatia vigezo vya kuupatia Mji wa Kibaha uliopo mkoani Pwani hadhi ya Manispaa ambapohaikukidhi vigezo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...

Wasimamizi wa uchaguzi waongezewa posho

0
Serikali imesema wakati wa uchaguzi, Wasimamizi wa uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa ngazi ya Jimbo na Kata hulipwa posho za kujikimu wanapokuwa wanatekeleza majukumu ya uchaguzi kwa kuzingatia Waraka wa Utumishi wa Umma...

Bajeti Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji mezani leo

0
Mkutano wa 15 wa Bunge la bajeti unaendelea jijini Dodoma ambapo leo Aprili 22, 2024 pamoja na mambo mengine, itasomwa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji kwa mwaka wa Fedha...

Msajili wa hazina ateta na wawekezaji wa madini

0
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Perseus ya nchini Australia iliyowakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu Jeff Quartermaine na Afisa Fedha Mkuu Lee Anne...

Makamu wa Rais awasili Pemba

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alipokuwa akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba, Zanzibar leo Aprili 21, 2024 ambapo atashiriki katika shughuli mbalimbali kuelelekeamaadhimisho ya miaka 60 ya Muungano yatakayofikia kilele chake Aprili...

Watanzania kushiriki maonesho ya biashara China.

0
Baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania watashiriki maonesho ya biashara ya Kimataifa maarufu kama Canton Fair huko jijini Guangzhou nchini China. Wafanyabiashara hao wataongozwa na Mwandishi wa vitabu mkongwe nchini, Nyambari Nyangwine.Maonesho hayo yanatarajiwa kuwa...