Waliofariki kwenye tetemeko ni zaidi ya 2000

0
Zaidi ya watu 2,000 wamethibitika kufariki dunia na maelfu kujeruhiwa nchini Morocco kufuatia tetemeko kubwa la ardhi kuyakumba maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.Habari zaidi kutoka nchini Morocco zinaeleza kuwa idadi ya vifo inaweza kuongezeka...

Dola Mil 10 za USAID kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi

0
Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza uwekezaji mpya katika miradi miwili wenye thamani ya Dola Milioni 10 za Kimarekani, ili kulinda ikolojia muhimu na kupunguza gesi ukaa nchini.Uwekezaji huo umetangazwa na...

Rais Ali Bongo awania muhula wa 3

0
Wananchi wa Gabon Leo wanapiga kura kumchagua Rais pamoja na Wabunge.Rais Ali Bongo wa Gabon ambaye aliingia madarakani baada ya Baba yake Omar Bongo aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kufariki dunia mwaka 2009, anawania...

Niger yasaini makubaliano ya kijeshi na Mali na Burkina Faso

0
Niger imesaini amri inayoruhusu majeshi ya Mali na Burkina Faso kuingia nchini humo kwa ajili ya kuisaidia endapo itavamiwa kijeshi.Taarifa hiyo imetolewa baada ya mawaziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso na Mali...

Putin avunja ukimya kifo cha Yevgeny Prigozhin

0
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amevunja ukimya kufuatia taarifa za kifo cha kiongozi wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin, baada ya ndege aliyokuwa akisafiria yeye na watu wengine tisa kutoka Moscow kwenye...

Trump ajisalimisha polisi, aachiwa kwa dhamana

0
Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump alijisalimisha kwa Polisi katika Jimbo la Georgia kutokana na mashtaka yanayomkabili akidaiwa kujaribu kubadili matokeo ya uchaguzi kwenye jimbo hilo mwaka 2020.Hata hivyo Trump yupo nje kwa dhamana...

Kiongozi wa wagner afariki dunia

0
Watu kumi wanaaminika kuwa wamefariki kwenye ajali ya ndege Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Urusi, Moscow ambapo Mamlaka ya Anga ya Urusi imesema Kiongozi Mkuu wa Kundi la Wagner Yevgeny Prigozhin ni miongoni mwa...

Zimbabwe wanapiga kura leo

0
Raia wa Zimbabwe leo wanapiga kura kumchagua Rais pamoja na Wabunge, baada ya kuhitimishwa kwa kampeni za uchaguzi huo ambazo zilitawaliwa na suala la mfumko wa bei.Kutokana na zoezi hilo la upigaji kura, leo...

Tanzania na Indonesia zafungua ukurasa mpya wa ushirikiano

0
Tanzania na Indonesia zimefikia makubaliano ya kujenga uwezo na ujuzi katika maeneo matano muhimu ambayo yanakwenda kufungua sura mpya ya ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili.Akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kufanya...

ECOWAS Yaidhinisha Niger Kuvamiwa Kijeshi

0
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeidhinisha kutumwa kwa kikosi cha dharura kinachoundwa na nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo kwenda nchini Niger, ili kurejesha utawala wa kikatiba nchini humo.Hatua hiyo imefikiwa...