Wezi Nairobi watumia watoto

0
Wezi sugu katika mitaa mbalimbali jijini Nairobi sasa wanatumia mbinu mpya ya kuwatuma watoto kutekeleza uhalifu huo.Msimamizi wa kituo cha polisi katika Kata ya Riruta, Sarah Kimsar amewataka wazazi kuwalinda na kuwapa ushauri watoto...

Marekani yalaani machafuko Congo

0
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema kuongezeka kwa ghasia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kunaleta hatari kwa mamilioni ya watu wanaolazimika kukimbia makazi yao.Mapigano nchini humo yamepamba moto katika siku za...

Rais Samia awasili Ethiopia

0
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa, Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia ameeleza kuwa baada ya kutoka kijijini Ngarash, Monduli, mkoani Arusha yalipokuwa yakifanyika...

Rais Senegal akubaliana na mahakama uchaguzi kufanyika

0
Rais wa Senegal anasema uchaguzi uliocheleweshwa wa kuchagua mrithi wake utafanyika "haraka iwezekanavyo". Hii ni baada ya mahakama ya juu kusema kwamba kucheleweshwa kwa uchaguzi huo ni kinyume cha katiba.Rais Macky Sall amehudumu kwa...

Askari wa Afrika Kusini wauawa DRC

0
Jeshi la Afrika Kusini linalolinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limekumbwa na tukio la kwanza lililosababisha vifo vya askari wake tangu litue hivi karibuni katika nchi hiyo kuzima uasi.Katika tukio hilo, askari...

Mtuhumiwa wa mauaji aua mahabusu mwenzie

0
Mwanaume mwenye umri wa miaka 42 anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya ndugu watatu nchini Hispania, anadaiwa tena kumuua mahabusu mwenzake gerezani anakoshikiliwa, ripoti zimesema.Mtuhumiwa huyo aliyetambuliwa kama Dilawar Hussain F.C., alihamishiwa katika gereza...

Rais Samia kukutana na Papa Francis

0
Rais Samia Suluhu Hassan leo Februari 12, 2024 anafanya ziara ya kikazi Vatican ambapo pamoja na mambo mengine atakutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Baba Mtakatifu Francis.Baada ya mazungumzo hayo,...

Rais wa Namibia afariki dunia

0
Rais wa Namibia, Dkt. Hage Geingob (82) amefariki dunia leo Februari 04, 2024 katika Hospitali ya Lady Pohamba nchini humo alipokuwa akipatiwa matibabu.Taarifa za kifo chake zimetolewa na Kaimu Rais wa Namibia, Nangolo Mbumba,...

Simulizi namna taka za Plastiki zimekuwa mkombozi kwa Jamii

0
Ni rahisi kuidharua kazi ya chupa za plastiki (makopo), lakini wengi wao wanadai inawalipa na inawabadilishia maisha.Udadisi wa mwandishi wa Habari hii kwa baadhi ya akina mama na vijana waliounda kikundi cha pamoja huko...

Dkt. Mwinyi ashiriki Doha Forum 2023

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki ufunguzi wa Jukwaa la 21 la Doha (Doha Forum) akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.Pamoja na mambo mengine, baada ya...