Kenyatta apunguza kodi ya mafuta

0
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amekubali kupunguza kodi ya mafuta kwa asilimia nane.Akihutubia taifa hilo Rais Kenyatta amesema amepunguza kodi hiyo kwa wafanyabiashara wote ili kuwawezesha kunufaika zaidi.Takribani miaka miwili iliyopita Rais Kenyatta alipandisha...

Houthi wawaachilia watoto wawili

0
Wapiganaji wa kikundi cha Houthi cha nchini Yemen wametangaza kuwa wamewaachia watoto wawili wa kiume wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Ali Abdallah Saleh waliokamatwa mara baada ya kifo cha baba yao.Watoto hao wa...

Marekani yasema haioni sababu ya kutoiuzia silaha Saudi Arabia

0
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa haoni sababu ya kusimamisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia kwa sababu ya kutoweka kwa mwandishi wa habari wa Saudi Arabia Jamali Khashoggi.Trump amesema kuwa Marekani inaweza...

Maporomoko ya udongo yasababisha vifo Uganda

0
Zaidi ya watu thelathini wamethibitika kufa baada ya kutokea kwa maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika eneo la mashariki la Uganda.Idadi hiyo ya watu waliokufa inatarajiwa kuongezeka kwa kuwa bado...

Wakili wa Bobi Wine azuiliwa kuingia Uganda

0
Wakili wa kimataifa aliyepewa kazi ya kumwakilisha Mbunge wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, - Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amezuiwa kuingia nchini humo.Robert Amsterdam ambaye ni raia wa Canada ameorodheshwa kama mtu...

Trump kukutana tena na kiongozi wa Korea Kaskazini

0
Rais Donald Trump  wa Marekani amesema kuwa anatarajia kukutana kwa mara ya pili na Rais Kim Jong-un  wa Korea Kaskazini  katika siku za hivi karibuni.Akizungumza na Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini mjini New...

Keita aapishwa kuiongoza Mali

0
Rais mpya wa Mali Ibrahim Boubcar Keita ameapishwa baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 12 mwaka huu.Sherehe za kuapishwa kwa Keita zimefanyika katika viwanja vya Kouluba chini ya ulinzi mkali.Agosti 20 mwaka huu...

Tetemeko la ardhi laikumba Hokkaido

0
Tetemeko kubwa la ardhi limekikumba Kisiwa cha Hokkaido kilichopo Kaskazini mwa Japan na kuharibu makazi ya watu.Vyombo vya habari katika kisiwa hicho vimeripoti kuwa watu wanane wamekufa na wengine arobaini hawajulikani walipo kutokana na...

Marekani yaliwekea vikwazo Jeshi la China

0
Marekani imeliwekea vikwazo jeshi la China kufuatia hatua yake ya kununua ndege za kijeshi pamoja na makombora ya kurushwa kutoka ardhini kutoka nchini Russia.Hivi karibani jeshi hilo la China lilinunua ndege kumi aina ya...