Polisi mbaroni Kenya kwa biashara ya binadamu

0
Maofisa wanne wa Jeshi la Polisi nchini Kenya wametiwa mbaroni baada ya maofisa wa upelelezi kuvamia nyumba ambayo Waethiopia 37 walikuwa wametunzwa, umbali wa kilomita 16 kutoka Jiji la Nairobi.Askari waliokamatwa wanatuhumiwa kwa kushiriki...

Davido kuchangia milioni 500 kwa yatima

0
Nyota wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Davido ametangaza kuwa atachangia Naira milioni 300 (shilingi milioni 500) kwenye vituo vya watoto yatima nchini humo.Davido, ambaye jina lake halisi ni David Adeleke, kwa miaka ya...

Kwa nini ninataka wanitoe uhai

0
Joe Mudukiza, 28, mkazi wa Nairobi, Kenya aligundulika kuwa na ugonjwa wa seli mundu akiwa na umri wa miaka miwili. Lakini kuanzia mwaka jana ugonjwa huo umekuwa ukimsumbua kijana huyo na kumpa maumivu makali.Sasa...

Mwanamke Nigeria ajifungulia kituo cha basi

0
Mwanamke mmoja, amejifungua mtoto akiwa katika kituo cha mabasi katika Jiji la Lagos, Nigeria na kushangiliwa na umati wa watu waliokuwa wamekusanyika karibu na eneo hilo.Mwanamke huyo ambaye jina lake halikutajwa alikuwa akisubiri kupanda...

Mabaki ya satelaiti kongwe kuanguka duniani

0
Mabaki ya satelaiti ya kwanza ya Ulaya yanatarajiwa kuanguka duniani muda wowote kuanzia sasa, imefahamika.Lengo la satelaiti hiyo ERS-2 iliyozinduliwa mwaka wa 1995 ilikuwa kuchunguza anga na kuunda teknolojia ambazo sasa zinatumika mara kwa...

Mahakama kusikiliza hoja uvamizi wa Israel Palestina

0
Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa leo Jumatatu inafungua wiki ya vikao kusikiliza hoja za kisheria kuhusu madai ya Israel kuyakalia kwa mabavu maeneo ya Wapalestina, huku zaidi ya majimbo 50 yakitarajiwa kutoa hoja...

64 wauawa mapigano Papua New Guinea

0
Takriban watu 64 wameuawa katika ghasia za kikabila zilizoibuka katika eneo la Nyanda za Juu, Kaskazini mwa Papua New Guinea, vyombo vya habari vimeripoti.Afisa mmoja wa polisi ameyaelezea mauaji hayo kama "makubwa zaidi" katika...

Israel yatishia kushambulia Rafah

0
Mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Israel Kuhusu Vita, Benny Gantz ameonya kwamba kama Hamas haitawaachilia huru mateka wote wanaoshikiliwa Gaza hadi kufikia Machi 10, 2024, Israel itaanza kuupiga mabomu mji wa Rafah.Rafah ni...

Maelfu washiriki maandamano kupinga vita Gaza

0
Maelfu ya watu katika miji ya London (Uingereza), Madrid (Hispania) na Istanbul (Uturuki) wamejitokeza mitaani kuandamana kupinga vita vya Gaza huku Israel ikiahidi kuendelea na mashambulizi yake huko Rafah, kusini mwa Gaza.Wakipeperusha bendera ya...

Wezi Nairobi watumia watoto

0
Wezi sugu katika mitaa mbalimbali jijini Nairobi sasa wanatumia mbinu mpya ya kuwatuma watoto kutekeleza uhalifu huo.Msimamizi wa kituo cha polisi katika Kata ya Riruta, Sarah Kimsar amewataka wazazi kuwalinda na kuwapa ushauri watoto...