EAC : Mchakato wa kupata noti ya pamoja haujakamilika

0
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imetaka kupuuzwa kwa taarifa iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa Jumuiya hiyo imetambulisha noti mpya ya pamojaitakayotumika katika nchi wanachama iitwayo SHEAFRA.EAC imesema mchakato wa kupata noti ya pamoja bado unaendelea...

112 wauawa Gaza wakisaka chakula cha msaada

0
Takribani Wapalestina 112 wameuawa na wengine 760 kujeruhiwa wakati wakiwa kwenye mchakato wa kusaka msaada hususani wa chakula katika ukanda wa Gaza.Umati wa watu ulijikusanya kwenye msafara wa malori yaliyokuwa kwenye barabara ya kusini-magharibi...

Mwimbaji kinara wa Morgan Heritage ‘Peetah’ afariki

0
Peter Anthony Morgan, mwimbaji kiongozi wa bendi maarufu ya reggae ya Morgan Heritage aliyoianzisha akiwa na ndugu zake wanne, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 46, familia yake imesema.Familia imewashukuru watu kwa upendo...

Ukarimu wa Watanzania umeokoa maisha yangu

0
Apelo Apeto (32) ni raia wa Togo na ni miongomi mwa watu waliokuwemo katika ajali iliyotokea Februari 25. 2024 katika eneo la Ngaramtoni mkoani Arushana kusababisha vifo vya watu 25 na wengine zaidi ya...

Ajali Arusha yaua raia wa mataifa 7

0
Miongoni mwa watu waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Februari 24, 2024 mkoani Arusha wana uraia wa Mataifa ya Marekani, Afrika Kusini, Nigeria, Togo, Bukinafaso, Madagasca na Kenya.Katika ajali hiyo iliyotokea barabara ya...

Trump ashinda uteuzi mgombea Urais Republican

0
Donald Trump ameshinda uteuzi wa kuwa mgombea wa Urais wa Marekani kupitia chama cha Republican baada ya kupata ushindi wa asilimia 59.8 ya kura dhidi ya Nikki Haley aliyepata asilimia 39.5 katika jimbo la...

Nane walazwa kwa kuvuta harufu ya ajabu

0
Watu wanane wakiwemo maofisa wa polisi wamelazwa hospitalini baada ya kutokea tukio la kutatanisha katika makao makuu ya huduma za usalama nchini Sweden.Takriban watu 500 wameondolewa haraka kwenye jengo hilo baada ya wafanyakazi kuripoti...

Kipindupindu chaua 700 Zambia

0
Idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Zambia imeongezeka hadi kufikia 700, linasema shirika la huduma za matibabu la Médecins Sans Frontières (MSF).Idadi hiyo imeelezwa kuwa ni kubwa zaidi kuwahi...

Jaji aunga mkono mwanafunzi kusimamishwa kwa kusuka rasta

0
Jaji wa Jimbo la Texas, Marekani, ametoa uamuzi kwamba uongozi wa shule haukumbagua mwanafunzi mwenye asili ya Afrika ilipomwadhibu kutokana nywele zake alizosuka kutoendana na kanuni za uonekanaji na uvaaji za shule.Uongozi wa juu...

Mtu mrefu na mfupi zaidi duniani wakutana California

0
Sultan Kosen, na Jyoti Amge wanaoshikilia rekodi za dunia za Guinness za mtu mrefu zaidi na mfupi zaidi aliye hai duniani wamekutana California, Marekani.Sultan ambaye ana urefu wa sentimenta 251 (meta 2.51 au futi...