Mlimpuko mkubwa waua Ghana

0
Takribani watu 17 wameuwawa baada ya mlipuko mkubwa kutokea karibu na mji maarufu kwa uchimbaji madini huko Ghana magharibi.Polisi wamesema gari lililokuwa limebeba milipuko kwa ajili ya uchimbaji madini liligongana na pikipiki karibu na...

Mohamed Moris afariki Dunia

0
Aliyekuwa Rais wa Misri Mohamed Moris amefariki dunia ghafla hii leo baada ya kuanguka akiwa Mahakamani kusilikiza mashtaka mbalimbali yanayomkabili.Moris ambaye alichaguliwa kuongoza Misri mwaka 2012 kupitia chama cha Udugu...

Wakimbizi wasubiri kuingia Marekani

0
Wakimbizi kutoka nchi za Amerika ya Kati hasa Honduras walioko njiani kwenda Marekani kutafuta maisha mazuri wamesema kuwa, wana matumaini ya kupata ridhaa ya kuingia nchini humo licha ya vikwazo vingi.Wakimbizi hao wamesema kuwa...

Waigizaji filamu waliopiga pesa ndefu 2023

0
Chapisho la Forbes limetoa orodha ya waigizaji 10 wa filamu walioingiza kipato kikubwa zaidi kwa mwaka 2023.Kwa mujibu wa chapisho hilo, Mwigizaji wa Filamu na Raia wa Marekani, Adam Sandler mafanikio yake katika tasnia...

Unafahamu kuwa kuna watu husikia Rangi?

0
Baadhi ya watu huzaliwa na tatizo la kutokuona rangi kabisa unaojulikana kisayansi kama achromatopsia. Japo wanakuwa na uwezo wa kuona kila kitu bila kujua ni cha rangi gani.Tatizo hilo husababishwa na jenetiki na huweza...

Maporomoko ya udongo yasababisha vifo Kenya

0
Takribani watu Arobaini wanadhaniwa kufa nchini Kenya, baada ya nyumba zao kusombwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo.Habari zaidi kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa, watu wengine Thelathini hawajulikani...

Mwai Kibaki afariki dunia

0
Rais wa awamu ya tatu wa Kenya, Mwai Kibaki amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.Kibaki alikuwa Rais wa Kenya kwa muda wa miaka kumi kuanzia mwezi Desemba mwaka 2002...

China kudhibiti virusi vya Corona

0
Rais Xi Jingping wa China amesema serikali yake ipo mbioni kudhibiti kuenea kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vipya aina ya Corona.Ping amesema maisha ya watu na afya zao...

Serengeti Girls out Kombe la Dunia

0
Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls), imeondolewa katika mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kufungwa magoli 3- 0 na Colombia katika hatua ya robo fainali.Mchezo kati...