Marekani na Kenya kukuza biashara

0
Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya mjini Washington na kugusia zaidi masuala ya biashara na usalama.Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani imesema kuwa ...

Tanzania Makamu Mwenyekiti mpya wa SADC

0
Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umemalizika rasmi tarehe 18 Agosti katika mji wa Windhoek nchini Namibia kwa kumteua Rais John ...

Tanzania kutoshiriki Miss World 2021

0
Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la urembo la dunia (Miss World)  kwa mwaka huu Juliana Rugumisa,  hatoweza kushiriki shindano hilo lililopangwa kufanyika tarehe 16 mwezi huu nchini Puerto Rico kutokana na kukosa Visa.Waandaaji wa...

Bobi Wine afutiwa mashitaka

0
Serikali ya Uganda imemfutia mashitaka yaliyokua yakimkabili Mbunge wa jimbo la Kyadondo - Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine.Mbunge huyo ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini humo leo Agosti 23 alitarajiwa kurudishwa katika...

Kansela Angela Merkel ziarani Nigeria

0
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ameanza ziara yake nchini Nigeria ikiwa ni ziara ya mwisho kwa nchi za Afrika Magharibi.Kabla ya kuanza ziara yake nchini Nigeria, Kansela Merkel alikua na ziara katika nchi za...

Trump asisitiza kutovunja sheria

0
Rais Donald Trump wa Marekani amesisitiza kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa kwa siri kwa wanawake wawili wanaodhaniwa kuwa na uhusiano naye hayakuvunja sheria ya fedha za kampeni za uchaguzi mwaka 2016.Trump amekana tuhuma...

Milioni 4 kuishi na Mende 100 nyumbani

0
Kama uko tayari kufanya jambo lisilo la kawaida kwa mabadiliko, jaribio hili la mende linaweza kuwa kwa ajili yako.Kulingana na Jarida la Business Insider, kampuni ya kudhibiti wadudu kutoka North Carolina nchini Marekani inatafuta...

Tanzania na Uganda zanufaika na ushirikiano

0
Tanzania na Uganda zimepata mafanikio makubwa kupitia mikutano ya Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) iliyofanyika jijini Arusha mwezi Aprili mwaka huu na ule uliofanyika mjini Kampala nchini Uganda na...

Bobi Wine azuiliwa kwenda nje ya nchi

0
Mbunge wa upinzani nchini Uganda ambaye pia ni Mwanamuziki Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine anayedaiwa kupigwa na kuteswa baada ya kukamatwa mapema mwezi huu, amezuiliwa kuondoka nchini humo kwenda kupatiwa matibabu nje ya...