Mawaziri wa SADC waipa pole Tanzania

0
Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) linaendelea na mkutano wake jijini Luanda, Angola ambapo katika siku ya kwanza ya mkutano huo limewasilisha salamu za rambirambi kwa Tanzania kufuatia kifo...

Tanzania yaingia 40 bora ‘Miss World’

0
Mrembo wa Tanzania, Halima Kopwe @halima_kopwe ameingia katika 40 bora kwenye kwenye shindano la ulimbwende la dunia (Miss World) linaloendelea nchini India.Hili ni shindano la urembo la dunia la 71 ambalo limeanza Februari 18,...

Ijue Siku ya Wanawake Duniani

0
Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani (IWD) ni sikukuu ambayo nchi nyingi zimekuwa zikiiadhimisha kila mwaka ifikapo Machi 8 na sasa maadhimisho haya yamedumu kwa zaidi ya karne moja.Kila mwaka, maadhimisho huwa na mada...

Achanjwa mara 217 kujikinga na Uviko

0
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 62 huko Magdeburg, Ujerumani anadaiwa kwa makusudi ama kwa sababu binafsi alipatiwa chanjo mara 217 dhidi ya Uviko ndani ya kipindi cha miezi 29.Hata hivyo Watafiti kutoka Chuo...

Kutana na ‘mtu sanamu’ kutoka DRC

0
Mayanda Nzau, maarufu "Mutu Ekeko" (Mtu Sanamu), amejizolea umaarufu mkubwa katika Jiji la Kinshasa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kutoka na uwezo wake wa kujigeuza kuwa kama sanamu.Kijana huyu mwenye umri wa...

Waziri Mkuu wa Peru ajiuzulu

0
Waziri Mkuu wa Peru, Alberto Otarola amejiuzulu baada ya tuhuma za kudaiwa kutumia ushawishi ili mpenzi wake apate kandarasi ya biashara na serikali kupitia sauti yake iliyorekodiwa kurushwa kwenye vyombo vya habari.Hata hivyo, Otarola...

‘Super Tuesday’ yaimarisha uwezekano wa Trump, Biden kuchuana tena

0
Rais Joe Biden wa Marekani na Rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump wamepata ushindi mkubwa katika takribani majimbo yote yaliyokuwa yakiendesha kura za maoni kwa ajili ya uteuzi wa wagombea urais wa...

Watoto wanakufa kwa njaa Gaza – WHO

0
Watoto wanakufa kutokana na njaa Kaskazini mwa Gaza, Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema.Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema ziara za shirika hilo mwishoni mwa wiki katika hospitali za Al-Awda na Kamal Adwan ambazo...

Kwa nini leo, ‘Super Tuesday’ ni muhimu kwa Wamarekani

0
LEO Machi 5 maarufu “Super Tuesday, ni siku muhimu kwa Marekani kwani inaamua nani anakwenda kuchuana na Rais Joe Biden katika mbio za urais wa Marakeni kupitia chama cha upinzani cha Republican.Ni kwamba, Donald...

Viwango vya ubora vya FIFA kwa timu za wanaume

0
Michuani ya AFCON iliyomalizika mapema mwezi huu imekuwa na mchango mkubwa kwa baadhi ya timu kupanda katika viwango vya FIFA kutokana na ubora wa timu hizo kwenye mashindano hayo.Nigeria ambayo ilifika hatua ya fainali...