Aun San awasili The Hague

0
Kiongozi wa Myanmar, Aun San Su Chi, tayari amewasili katika Mahakama ya Kimataifa The Hague nchini Uholanzi ili kutoa utetezi wake kuhusiana na mauaji ya watu wa kabila la Rohingya.Nchi hiyo inatuhumiwa kufanya mauaji ya kikabila...

Floyd Mayweather anajitolea kugharamia mazishi ya George Floyd

0
Bingwa wa masumbwi Duniani Floyd Mayweather amesema anajitolea kugharamia mazishi ya George Floyd ambaye aliuawa na polisi wa MinneapolisMaandamano ya kupinga mauaji ya George Floyd yamesambaa katika miji mbalimbali nchini Marekani na duniani kwa...

Aliyekutwa amefariki Marekani adaiwa ni Mtanzania

0
Wapelelezi nchini Marekani wamefanikiwa kuutambua mwili wa kijana aliyekutwa amefariki dunia kwenye fukwe huko Galveston sland, Texas miaka mitatu iliyopita.Polisi wa Galveston wameutambua mwili huo kuwa ni wa Calvin Mbwambo (26), na kudai kuwa...

Rais wa Mali amejiuzulu na kuvunja Bunge

0
Rais wa Mali Ibrahim Keïta ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo baada ya wanajeshi waasi kumkamata yeye pamoja na Waziri Mkuu, Boubou Cisse katika mji mkuu wa nchi hiyo BamakoRais Keïta pia amelivunja Bunge na kusema...

Afya ya Malkia Elizabeth II yadhoofika

0
Wanafamilia wa karibu wa Malkia Elizabeth II wamekusanyika kwenye Kasri la Balmoral nchini Scotland baada ya afya ya Malkia huyo kudhoofika na kupelekea madaktari wa Malkia kupendekeza apewe usimamizi wa karibu wa matibabu.“Kufuatia...

Tanzania kutoshiriki Miss World 2021

0
Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la urembo la dunia (Miss World)  kwa mwaka huu Juliana Rugumisa,  hatoweza kushiriki shindano hilo lililopangwa kufanyika tarehe 16 mwezi huu nchini Puerto Rico kutokana na kukosa Visa.Waandaaji wa...

Marekani yaonywa kufuatia mauaji ya raia wake wenye asili ya Afrika

0
Umoja wa Mataifa umelaani mauaji ya raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika,- George Floyd yaliyotokea mikononi mwa polisi hivi karibuni. Katika taarifa yake Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet...

Mugabe kuzikwa Jumapili

0
Rais wa zamani wa Zimbabwe, -Robert Mugabe, anatarajiwa kuzikwa Jumapili ijayo nchini humo.Msemaji wa Serikali ya Zimbabwe, -George Charamba amesema kuwa, mwili wa Mugabe utasafirishwa kutoka nchini Singapore kwenda nchini humo siku ya...

Afghanistan yaanza kuwaachia wafungwa wa Taliban

0
Serikali nchini Afghanistan imeanza kuwaachia wafungwa 400 wa Kundi la Taliban baada ya mazungumzo ya siku tatu ya baraza la viongozi.Wafungwa hao walikuwa wamefungwa kwa kuhusika na makosa ya mauaji, utekaji na usafirishaji wa...

Bwege aitwa kampeni za Odinga

0
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi kupitia Chama Wananchi (CUF), Selemani Bungara maarufu Bwege, amekwenda nchini Kenya kwa lengo la kumpigia kampeni mgombea wa kiti cha...