Baa ya vioo inayoning’inia kwenye korongo

0
Huenda ukahitaji kinywaji kabla hata ya kufika kwenye baa ama kusimuliwa kuhusu baa ya maajabu iliyopo huko nchini Georgia.Ni kwamba baa hiyo yenye umbo la almasi imejengwa katikati ya daraja la vioo lenye urefu...

Miss USA 2019 ajiua

0
Mshindi wa Mashindano ya Miss USA mwaka 2019 Cheslie Kryst amefariki dunia kwa kujiua Jumapili asubuhi akiwa na miaka 30.Kulingana na ripoti iliyotolewa na tovuti ya habari za burudani ya TMZ polisi walifika eneo...

Dkt. Mpango: Wananchi wa Tanzania na Uganda wanapaswa kuwa wazalendo

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema kutokana na umuhimu mkubwa wa mradi wa Bomba la mafuta, wananchi wa Tanzania na Uganda wanapaswa kuwa wazalendo katika mradi...

SAMAKI MPYA

0
Wanasayansi wamegundua aina mpya ya samaki wa kundi la ‘Psychedelic Fish Species’ mwenye mwonekano unaofanana na upinde mvua.Wanasayansi katika Pwani ya Maldives wamegundua aina hiyo mpya ya samaki ambaye ana rangi angavu, ni kiumbe...

Wamiliki wa Seattle Sounder kuinua michezo Tanzania

0
Kampuni ya kimataifa ya Vulcan Inc. kupitia kampuni yake tanzu ya Vulcan Arts and Intertainment imeeleza utayari wake wa kusaidiana na serikali ya Tanzania katika kuinua sanaa na michezo.Hayo yameelezwa na mkurugenzi mwandamizi...

Washindi wa picha bora za utalii watangazwa

0
Picha 20 za viumbehai wakiwemo ndege, nyuki, nyoka na nyani ni miongoni mwa picha za wapiga picha 20 walioibuka kidedea katika mashindano ya mpigapicha bora wa viumbehai vya utalii kwa mwaka 2022, ...

Wawekezaji kutoka India kutembelea Tanzania

0
Wawekezaji mbalimbali kutoka nchini India wanatarajia kuja kuwekeza nchini Tanzania ambapo kundi la kwanza la wawekezaji kwenye sekta ya ujenzi wa viwanda vya madawa ya binadamu na vifaa tiba kutoka India, linatarajiwa kutembelea Tanzania kuanzia tarehe 19...

Achora mtu mwenye sharubu kwa baiskeli kuhamasisha ‘Movember’

0
Anthony Hoyte amechora picha ya mtu mwenye sharubu kwa baiskeli ili kuhamasisha kampeni ya ‘Movember’ kwa kutumia programu ya mazoezi inayofuatiliwa na GPS, Strava.Anthony Hoyte ameendesha baiskeli kwa umbali wa kilometa 121 na anatarajia...

Kofi Annan afariki dunia

0
Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki dunia.Habari zinasema kuwa Annan amefariki dunia katika hospitali moja nchini Switzerland alipokua akipatiwa matibabu baada ya kuugua gafla.Amefariki akiwa na umri...