Siku ya Wapendanao

0
Leo ni Siku ya Wapendanao (Valentine's Day) ambapo watu wengi duniani huiadhimisha siku hiyo kwa kupeana zawadi mbalimbali kama kadi na maua zenye ishara ya upendo.Siku hiyo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 14 na...

IFAD yajadili maendeleo ya uvuvi wa Tanzania

0
Mkutano wa Mfuko wa Maendeleo wa Kilimo na Uvuvi Duniani (IFAD) umeanza leo ukihudhuriwa na Rais wa Mfuko huo, Alvaro Lario na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo ambaye pia ni mwakilishi...

Bahari mpya kuigawa Afrika

0
Wanajiolojia wamethibitisha kuwa bahari mpya inaundwa barani Afrika ambayo italigawa bara hilo nusu.Inasemwa kuwa ufa wenye urefu wa maili 35 ulionekana katika jangwa la Ethiopia eneo la Afar mwaka 2005 na pengine ni mwanzo...

Siku ya Redio Duniani

0
Leo ni Siku Redio Duniani, siku ambayo ilianzishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa malengo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusherehekea matangazo ya redio na kuimarisha ushirikiano...

Ujumbe wa Tanzania wawasili Italia

0
Ujumbe wa mawaziri wawili na katibu wakuu wawili wa Tanzania Bara na Zanzibar kutoka Wizara za Uvuvi na Mifugo, pamoja na ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi umewasili leo Jumapili Februari 12 mjini Roma...

Arteta: Jesus ameanza mazoezi mepesi

0
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha kuwa Gabriel Jesus ameanza mazoezi ya nje akisubiriwa kwa hamu kurejea kikosini baada ya kukaa nje kwa takribani miezi mitatu.NINI KILITOKEA? Mshambuliaji huyo raia wa Brazil aliumia goti...

Elfu 19 wafariki kwenye tetemeko

0
Idadi ya watu waliofariki dunia katika tetemeko la ardhi kwenye nchi za Uturuki na Syria imefikia zaidi ya elfu 19.Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema nchi yake imepata madhara makubwa kutokana na tetemeko...

Nigeria yavuliwa umiliki wa Jollof

0
Baada ya mvutano wa miaka mingi kuhusu nani ni mmiliki wa asili wa mapishi ya wali wa Pilau la Afrika Magharibi maarufu kama 'Jollof' kati ya nchi za Nigeria, Ghana, Senegal na Cameroon, hatimaye...

Vifo vya tetemeko vyafikia elfu 15

0
Siku nne zimepita tangu tetemeko kubwa la ardhi lilipopiga eneo la Kusini mwa Uturuki na Mashariki mwa Syria na kusababisha vifo pamoja na uharibifu wa mali.Mpaka sasa watu 12,873 wameripotiwa kufariki dunia katika...

Msanii Fulani afariki dunia

0
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mwanaharakati wa kutetea haki za wenye Ualbino Babu Sikare maarufu Albino Fulani amefariki dunia.Taarifa za kifo chake zimetolewa na mmoja kati ya marafiki zake wa karibu, msanii...