Marekani na Kenya kukuza biashara
Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya mjini Washington na kugusia zaidi masuala ya biashara na usalama.Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani imesema kuwa ...
Iran yapingana na Marekani kuhusu vikwazo
Marekani imesema kuwa mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu wa kivita haina uwezo wa kusikiliza kesi ya madai ya kuzuia vikwazo ambavyo nchi hiyo imeiwekea Iran.Iran inataka kuwasilisha madai yake kwenye mahakama hiyo...
Wakili wa Bobi Wine azuiliwa kuingia Uganda
Wakili wa kimataifa aliyepewa kazi ya kumwakilisha Mbunge wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, - Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amezuiwa kuingia nchini humo.Robert Amsterdam ambaye ni raia wa Canada ameorodheshwa kama mtu...
Mnangagwa aapishwa
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe anayeungwa mkono na jeshi la nchi hiyo ameapishwa kuongoza Taifa hilo baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Julai mwaka huu.Rais Mnangagwa ameapishwa na Mwanasheria Mkuu wa...
Scott Morrison Waziri Mkuu mpya Australia
Chama cha Liberal nchini Australia kimemteua Scott Morrison kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo kuchukua nafasi ya Malcolm Turnbull ambaye ameondolewa kwa lazima na chama chake.Kutokana na mzozo wa uongozi ndani...
Tanzania na Uganda zanufaika na ushirikiano
Tanzania na Uganda zimepata mafanikio makubwa kupitia mikutano ya Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) iliyofanyika jijini Arusha mwezi Aprili mwaka huu na ule uliofanyika mjini Kampala nchini Uganda na...
Trump asisitiza kutovunja sheria
Rais Donald Trump wa Marekani amesisitiza kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa kwa siri kwa wanawake wawili wanaodhaniwa kuwa na uhusiano naye hayakuvunja sheria ya fedha za kampeni za uchaguzi mwaka 2016.Trump amekana tuhuma...
Bobi Wine afutiwa mashitaka
Serikali ya Uganda imemfutia mashitaka yaliyokua yakimkabili Mbunge wa jimbo la Kyadondo - Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine.Mbunge huyo ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini humo leo Agosti 23 alitarajiwa kurudishwa katika...
Tanzania Makamu Mwenyekiti mpya wa SADC
Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umemalizika rasmi tarehe 18 Agosti katika mji wa Windhoek nchini Namibia kwa kumteua Rais John ...
Kofi Annan afariki dunia
Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki dunia.Habari zinasema kuwa Annan amefariki dunia katika hospitali moja nchini Switzerland alipokua akipatiwa matibabu baada ya kuugua gafla.Amefariki akiwa na umri...