Choo cha miaka 2,400

0
Mabaki ya choo cha zamani cha kuvuta maji (ku-flush) yamegundulika huko China katika jumba la malikale lililoporomoka katika jiji la kale la Yueyang, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.Choo hicho chenye miaka kati ya 2,200...

Ageuza ndege nyumba ya kuishi

0
Mhandisi mstaafu wa umeme wa nchini Marekani, Bruce Campell (64) amegeuza ndege aina ya Boeing 727 kuwa nyumba ya makazi katikati ya msitu anapoishi kwa miaka zaidi ya 20.Campell alinunua kiwanja cha ekari 10...

Tetemeko jingine la ardhi latikisa Uturuki

0
Tetemeko jingine la ardhi lenye ukubwa wa 6.4 katika kipimo cha Richter limetikisa aneo la Kusini la Uturuki, zikiwa zimepita siku kadhaa tangu kutokea kwa tetemeko jingine katika nchi hiyo pamoja na Syria na...

Unaweza kuamini, ila haijawahi tokea

0
Monesho ya mitindo ya mavazi yanayowashirikisha wazee kama wanamitindo ni nadra sana kufanyika, tena lile litakalohusisha wanamitindo wazee wa Kiafrika ndio adimu zaidi kutokea.Nchini Nigeria mtaalamu wa picha Malik Afegbua amepata umaarufu mkubwa duniani...

Makazi yaliyotumika Kombe la Dunia yepelekwa Uturuki

0
Qatar inapeleka nchini Uturuki nyumba zinazohamishika 10,000 ambazo zilitumika kama malazi wakati wa Kombe la Dunia la mwa 2022 kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi lliloikumba Uturuki na Syria.Takribani watu 40,000...

Kenya wafanya ibada maalum

0
Rais William Ruto wa Kenya amewataka raia wa nchi hiyo kuiombea nchi yao, ili Mwenyezi Mungu aweze kuleta neema.Rais Ruto amesema hayo wakati wa Ibada maalum ya Kitaifa, iliyofanyika kwa lengo la kumuomba Mwenyezi...

Siku ya Wapendanao

0
Leo ni Siku ya Wapendanao (Valentine's Day) ambapo watu wengi duniani huiadhimisha siku hiyo kwa kupeana zawadi mbalimbali kama kadi na maua zenye ishara ya upendo.Siku hiyo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 14 na...

IFAD yajadili maendeleo ya uvuvi wa Tanzania

0
Mkutano wa Mfuko wa Maendeleo wa Kilimo na Uvuvi Duniani (IFAD) umeanza leo ukihudhuriwa na Rais wa Mfuko huo, Alvaro Lario na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo ambaye pia ni mwakilishi...

Bahari mpya kuigawa Afrika

0
Wanajiolojia wamethibitisha kuwa bahari mpya inaundwa barani Afrika ambayo italigawa bara hilo nusu.Inasemwa kuwa ufa wenye urefu wa maili 35 ulionekana katika jangwa la Ethiopia eneo la Afar mwaka 2005 na pengine ni mwanzo...

Siku ya Redio Duniani

0
Leo ni Siku Redio Duniani, siku ambayo ilianzishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa malengo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusherehekea matangazo ya redio na kuimarisha ushirikiano...