Saudi Arabia yakiri kupangwa kwa mauaji ya Khashoggi

0
Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Saudi Arabia, - Saud Al-Mojeb amesema kuwa mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi yalipangwa.Taarifa  ya Al-Mojeb inakinzana na ile iliyotolewa awali kwamba Khashoggi aliuawa kwa bahati mbaya akiwa kwenye...

China na Japan kuimarisha uhusiano

0
China na Japan zimekubaliana kuimarisha uhusiano wa kiuchumi katika kipindi hiki ambapo China iko kwenye mzozo wa kibiashara na Marekani.Hayo yamebainika wakati wa hafla ya kutiliana saini makubaliano yaliyofikiwa baina ya nchi hizo mbili...

Salman azungumzia kifo cha Kashoggi

0
Kwa mara ya kwanza mwana wa mfalme wa Saudi Arabia, - Mohammed Salman anayetuhumiwa kupanga mauaji ya mwandishi wa habari wa nchi hiyo Jamal Kashoggi, amezungumzia kifo cha mwandishi huyo.Akizungumza katika mkutano wa wafanyabiashara...

Maafisa usalama Marekani wapongezwa

0
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliopita Hilarry Clinton amewapongeza maafisa usalama nchini humo kwa kubaini milipuko iliyokuwa imelengwa kumuangamiza.Hillary amesema kuwa maafisa usalama nchini humo...

Sahle Rais mpya Ethiopia

0
Sahle-Work Zewde amekuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais nchini Ethiopia baada ya bunge la nchi hiyo kuidhinisha uteuzi wake.Sahle anachukua madaraka baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia, - Abiy Ahmed kufanya mabadiliko makubwa katika...

Upasuaji wa aina yake wafanyika Uingereza

0
Madaktari nchini Uingereza wamewafanyia upasuaji wa uti  wa mgongo watoto wawili zikiwa ni zimesalia wiki chake kabla ya watoto hao kuzaliwa.Upasuaji huo ambao ni wa kwanza na wa aina yake kufanyika nchini Uingereza umefanywa...

Marekani yaijia juu Saudia mauaji ya Kashoggi

0
Rais Donald Trump wa Marekani ameziita harakati za Saudi Arabia za kuficha ukweli juu ya mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi kuwa ni mbaya zaidi kuwahi kutokea na kwamba za kihistoria.Akizungumza na waandishi...

China yafungua daraja refu zaidi duniani

0
Rais Xi Jinping  wa China amefungua daraja refu zaidi duniani lenye urefu wa kilometa 55 linaloyaunganisha maeneo mawili ya Hong Kong na Macau.Sherehe za ufunguzi wa daraja hilo zimepambwa na burudani mbalimbali na kuhudhuriwa...

Erdogan atoa maelezo kuhusu mauaji ya Khashoggi

0
Rais Recep Tayyip Erdogan  wa Uturuki ametoa maelezo ya kwanza rasmi juu ya mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi ndani ya ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul na kudai kuwa mauaji hayo...

Ushirikiano wa Tanzania na jimbo la Fujian kuendelezwa

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi -CCM Dkt Bashiru Ally amemkabidhi zawadi ya kinyago Gavana wa jimbo la Fujian mjini Fuzhou nchini China kama alama ya urafiki wa jimbo hilo na Tanzania.Akizungumza mara baada...