Umoja wa Mataifa kuchunguza umaskini Uingereza

0
Baadhi ya watu walionusurika kufa wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Ivory Coast, vita iliyosababisha Rais Laurent Gbagbo kuondoka madarakani, wanaitaka serikali ya nchi hiyo iwalipe fidia.Watu hao wamefikisha shauri lao mahakamani...

Walionusurika kwenye vita Ivory Coast wadai fidia

0
Baadhi ya watu walionusurika kufa wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Ivory Coast, vita iliyosababisha Rais Laurent Gbagbo kuondoka madarakani, wanaitaka serikali ya nchi hiyo iwalipe fidia.Watu hao wamefikisha shauri lao mahakamani...

Moto waendelea kuitesa California

0
Uongozi wa jimbo la California nchini Marekani umethibitisha kuwa idadi ya watu waliokufa kutokana na moto wa msituni imefikia 31 huku wengine zaidi ya mia mbili wakiwa hawajulikani walipo.Maelfu ya watu katika jimbo hilo...

Waliotekwa Cameroon waachiliwa

0
Waasi nchini Cameroon wameliachia kundi la wanafunzi 74 waliowatekwa wakiwa shuleni Novemba tano mwaka huu.Mbali na wanafunzi hao, watu wengine waliotekwa na waasi hao ni walimu kadhaa waliokuwa wakiwafundisha wanafunzi hao pamoja na dereva...

Ulipo mwili wa Kashoggi bado kitendawili

0
Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Saudi Arabia katika mazingira ya kutatanisha ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul,- Uturuki, bado mwili wake haujulikani ulipo.Licha ya serikali...

Facebook yakubali shutuma za Umoja wa Mataifa

0
Mtandao wa kijamii wa Facebook umekubali shutuma zilitolewa na Umoja wa Mataifa kuwa mtandao huo ulishindwa kuzuia mazingira yaliyosaidia kuchochea ghasia nchini Myanmar.Taarifa iliyotolewa na mtandao huo imesema kuwa habari zilizokua zikichapishwa na kusambazwa...

Zaidi ya watoto 70 watekwa Cameroon

0
Takribani watu 80 wengi wao wakiwa watoto wametekwa katika mji wa Bamenda Magharibi mwa Cameroon.Kikundi cha watu wanaozungumza lugha la Kiingereza nchini Cameroon wamedai kuhusika na tukio hilo ambapo watoto hao walikuwa ni wanafunzi...

Rekodi ya haki za binadamu Saudi Arabia kupitiwa

0
Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zinakutana mjini Geneva nchini Uswisi kupitia rekodi ya haki za binadamu ya Saudi Arabia katika kipindi hiki ambapo taifa hilo linakabiliwa na shutuma juu ya mauaji ya mwandishi...

Marekani kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Iran

0
Marekani imeanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Iran katika sekta za mafuta na fedha.Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, - Mike Pompeo amedai kuwa vikwazo hivyo ni vikali kuwahi kuwekwa na nchi hiyo...

Zimbabwe kuwa na mafuta na gesi asilia

0
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ametangaza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kupatikana kwa mafuta na gesi asilia kaskazini mwa nchi hiyo.Amesema kuwa kampuni ya uchimbaji madini ya Invictus Energy ya nchini Australia kwa kushirikiana...