Sakata la mauaji ya Kashoggi laendelea

0
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Uturuki amewasilisha ombi la hati ya kukamatwa kwa viongozi wawili wa ngazi za juu nchini Saudi Arabia kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha mwandishi wa habari maarufu wa  Saudi...

Houthi wasema wako tayari kwa mazungumzo

0
Wawakilishi wa Wanamgambo wa Houthi wa nchini Yemen wamewasili nchini Sweden kwa ajili ya mazungumzo ya amani ya nchi yao. Wawakilishi hao wamesema kuwa wako tayari kujadiliana kuhusu masuala kadhaa ya nchi yao ikiwa ni...

Ufaransa kutoongeza kodi ya mafuta

0
Waziri Mkuu wa Ufaransa, - Edouard Philippe anatarajiwa kutangaza uamuzi wa serikali ya nchi hiyo wa kubatilisha mpango wake wa kuongeza kodi kwenye mafuta, ongezeko lililokua lianze Januari Mosi mwaka 2019.Uamuzi huo wa serikali...

Buhari ajitokeza, asema atawania tena Urais

0
Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amejitokeza hadharani na kukanusha uvumi kuwa amefariki dunia, uvumi uliokua ukienea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwa miezi kadhaa sasa.Buhari ambaye atakuwa anawania kuchaguliwa tena katika uchaguzi wa Urais...

Buyoya apinga waranti wa kukamatwa

0
Rais wa zamani wa Burundi, -Pierre Buyoya amepinga waranti wa kukamatwa kwake uliotolewa na serikali ya nchi hiyo kwa madai ya kuhusika katika mauaji ya rais wa kwanza wa nchi hiyo aliyechaguliwa kidemokrasia, -...

Ubelgiji wataka ulinzi zaidi wa mazingira

0
Maelfu ya raia wa Ubelgiji wameandamana katika mitaa mbalimbali ya mji mkuu wa nchi hiyo Brussels wakitaka kuwekwa kwa mikakati zaidi ya kulinda mazingira.Raia hao wameandamana wakati ambapo mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa...

Mchezo kati ya Kenya na Sierra Leone wafutwa

0
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limethibitisha kufutwa kwa mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwaka 2019 nchini Cameroon, kati ya Kenya na Sierra Leone.CAF imesema kuwa...

Kamata kamata yaendelea Ethiopia

0
Ethiopia imewakamata zaidi ya watu sitini kwa tuhuma za ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu, wakiwemo maafisa wa upelelezi, askari na wafanyabiashara.Watu hao wamekamatwa kufuatia amri iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Ethiopia, -...

Tshisekedi na Kamerhe wabatilisha uamuzi

0
Viongozi wawili wa vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamejitoa katika makubaliano ya kumuunga mkono mgombea mmoja wa upinzani, makubaliano yaliyofikiwa mjini Geneva, - Uswisi Jumapili iliyopita.Felix Tshisekedi kutoka Chama Cha...

Mapigano makali yaendelea Gaza

0
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka kusitishwa kwa mapigano yanayoendelea kati ya vikosi vya Israel na wanamgambo wa Hamas wa Palestina katika ukanda wa Gaza.Umoja huo umesema kuwa mapigano kati ya...