Moto wazua taharuki DRC
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imesema kuwa uharibifu uliotokea baada ya kuteketea kwa moto kwa majengo yanayotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Jamhuri hiyo ni...
May kuungana na viongozi wa EU
Waziri Mkuu wa Uingereza, -Theresa May anatarajiwa kuungana na viongozi wa nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) huko Brussels nchini Ubelgiji kuhudhuria mkutano maalum wa kilele wa viongozi hao.Akiwa Brussels , pamoja na...
May aapa kutetea wadhifa wake
Waziri Mkuu wa Uingereza Thereza May amesema kuwa yuko tayari kupambana na changamoto zozote zitakazojitokeza wakati wa utawala wake.Akihutubia Taifa kupitia vyombo vya habari nchini Uingereza, May amesema kuwa hakutakuwa na mpango wa kumpigia...
Kima cha chini cha mshahara chaongezwa Ufaransa
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametangaza kushusha kodi na kuongeza kiwango cha kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi kwa kiasi cha Euro 100 kwa mwezi.
Akitangaza hatua hiyo katika hotuba yake ya kwanza tangu maandamano yaanze...
May akutana na viongozi wa EU
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amekutana na baadhi ya viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya - EU kwa mazungumzo rasmi kuisaidia Uingereza kutoka katika Umoja huo.
May amekutana na Waziri Mkuu wa Holland Mark...
Sita wafa kwa kukanyagana Italia
Watu sita wamekufa na wengine hamsini wamejeruhiwa baada ya kukanyagana kufuatia kuzuka kwa taharuki katika tamasha la muziki wa kufokafoka kwenye klabu moja ya usiku nchini Italia.Maafisa wa uokoaji na zimamoto nchini Italia wamesema...
Uturuki na Marekani kuimarisha uhusiano
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la nchini Uturuki, - Hakan Fidan amekutana na kufanya mazungumzo na Wabunge wa Bunge la Marekani pamoja na maafisa wa kijasusi wa nchi hiyo.Lengo la mkutano huo ni kuimarisha...
Amnesty International yashutumu adhabu ya kifo kwa watoto
Ripoti iliyotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International kuhusu adhabu ya kifo nchini Sudan Kusini imesema kuwa, watoto ni miongoni wafungwa wanaonyongwa nchini humo.Shirika hilo limesema kuwa watu saba akiwamo...
Wakimbizi wasubiri kuingia Marekani
Wakimbizi kutoka nchi za Amerika ya Kati hasa Honduras walioko njiani kwenda Marekani kutafuta maisha mazuri wamesema kuwa, wana matumaini ya kupata ridhaa ya kuingia nchini humo licha ya vikwazo vingi.Wakimbizi hao wamesema kuwa...
Mawaziri wa DRC na Uganda wakutana
Mawaziri wa afya kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) na Uganda wamekutana kwa dharura kwa lengo la kujadili namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola ambao tayari umesababisha vifo katika Jamhuri ya Kidemokrasi...