Polisi DRC wapambana na waandamanaji

0
Polisi wa kutuliza ghasia mjini Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) wamepambana na waandamanaji waliokuwa wakipinga tangazo la serikali la kuzuia kampeni za uchaguzi mjini humo.Wafuasi wa mgombea wa upinzani Martin Fayulu...

Sudan yatangaza hali ya tahadhari

0
Serikali ya Sudan imetangaza hali ya tahadhari katika mji wa Atbara ulioko katika bonde la mto Nile, baada ya mfululizo wa maandamano ya wananchi waliokuwa wakipinga hali ya upungufu wa chakula kwenye mji wao.Waandamanaji...

Uturuki yatoa picha za watuhumiwa wa mauaji

0
Serikali ya Uturuki imetoa picha za watu wanaotuhumiwa kuhusika na kifo cha mwandishi wa habari wa Saudi Arabia, -Jamal Khashoggi katika ubalozi mdogo wa Saudia uliopo mjini Istanbul.Picha hizo zinawaonyesha watuhumiwa hao wakiingia kwenye...

Raia wa Madagascar wapiga kura

0
Raia wa Madagascar wanapiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi, kuchagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais atakayeliongoza taifa hilo kwa kipindi kingine.Waliowahi kuwa marais wa nchi hiyo Andry Rajoelina na Marc Ravalomanana ni miongoni...

Majaji wafukuzwa kazi kwa tuhuma za rushwa

0
Rais Nana Akufo-Addo  wa Ghana amewafukuza kazi Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya nchi hiyo, ikiwa ni miaka mitatu baada ya tume iliyoundwa kuchunguza vitendo vya rushwa kutoa ripoti yake na kuwatuhumu kuwa walihusika...

Al Bashir aitembelea Syria

0
Rais Omar Al Bashir wa Sudan amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Umoja wa nchi za Kiarabu kuitembelea Syria, tangu nchi hiyo iingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe takribani miaka nane iliyopita.Katika uwanja wa...

Tani 3.2 za pembe za ndovu zakamatwa Cambodia

0
Cambodia imekamata tani 3.2 za pembe za ndovu ambazo zimeingizwa kimagendo nchini humo kutoka nchini  Msumbiji.Habari kutoka nchini Cambodia zimesema kuwa pembe hizo za ndovu 1,206 zimepatikana katika kontena lililokua ndani ya meli moja...

Mapigano yasitishwa Hodeida

0
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, - Mike Pompeo amesifu usitishwaji wa mapigano katika mji wa bandari wa Hodeida uliopo nchini Yemen.Hatua hiyo ya usitishwaji mapigano imefikiwa baada ya kumalizika kwa mazungumzo ya...

Ghasia zasababisha vifo Somalia

0
Watu 11 wamethibitika kufa katika jimbo la Baidoa nchini Somalia kufuatia ghasia zilizozuka baada ya kukamatwa kwa Kamanda wa zamani wa Wanamgambo wa Al-Shabab, -  Mukhtar Robow.Miongozi mwa watu waliokufa katika ghasia hizo ni...

Eritrea na Somalia kuimarisha uhusiano

0
Rais Isaias Afwerki wa Eritrea yuko mjini Mogadishu nchini Somalia kwa ziara ya kikazi, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano baina ya mataifa hayo mawili.Nchi za Somalia na Eritrea zimeamua kufufua uhusiano wa kidiplomasia...