Waandamanaji wapambana na polisi nchini Sudan

0
Kwa mara nyingine tena waandamanaji nchini Sudan wamepambana na polisi wa kutuliza ghasia, katika maandamano yao ya kupinga serikali, wakiwa wameingia katika siku yao ya nane ya maandamano hayo.Rais Omar Abashir wa Sudan amewaita...

Marekani kupambana na IS

0
Wizara ya Ulinzi ya Marekani imeridhia majeshi ya nchi hiyo yaliyokuwa nchini Syria kupambana na wapiganaji wa kikundi cha IS waliokuwa wakitishia usalama nchini humo kurejea nyumbani, baada ya kazi ya kuwatokomeza wapiganaji hao...

Maandalizi ya sikukuu za Krismas yaendelea

0
Maandalizi ya sherehe za Krismas yanaendelea mjini Bethlehem, eneo ambako inasadikiwa alizaliwa Yesu Kristo. Habari kutoka mjini Bethlehem zinasema ibada ya Krismas mwaka huu itafanyika nje ya Kanisa na Netevity ambamo Yesu alizaliwa ili kutoa...

Tsunami yasababisha hofu Indonesia

0
Hali ya wasiwasi imeongezeka nchini Indonesia baada ya nchi hiyo kukumbwa na tetemeko la chini ya bahari Tsunami, kwa kuwa kuna uwezekano wa kutokea Tsunami nyingine. Wanasayansi nchini Indonesia wamesema mlima Anak Krakatau wenye volkano...

Waandamanaji wajitokeza tena jijini Paris kuipinga serikali

0
Waandamanaji wa wanaopinga serikali ya Ufaransa, maarufu kama manjano wamejitokeza tena katika mitaa ya mji wa Paris nchini humo kuendelea na maandamano ya kupinga sera za rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo. Maandamano ya safari...

Viongozi wa upinzani nchini Sudan wahamasisha wananchi kuandamana

0
Viongozi wa upinzani nchini Sudan wameendelea kuwahamasisha wananchi kushiriki katika maandamano ya kupinga serikali leo jumapili, baada ya maandamano hayo kuanza kusambaa nchi nzima na kusababisha serikali kutangaza hali ya tahadhari. Waandamanaji wamekuwa wakishiriki katika...

Tetemeko la ardhi nchini Indonesia laleta maafa

0
Watu wapatao 168 wamekufa na wengine zaidi ya mia saba kujeruhiwa nchini Indonesia, baada ya tetemeko la ardhi chini ya bahari tsunami kuitikisa nchi hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu. Zoezi la...

Waziri wa Ulinzi wa Marekani aachia ngazi

0
Waziri wa Ulinzi wa Marekani James Mattis leo ametangaza kujiuzulu wadhifa wake. Katika barua yake ya kujiuzulu, Mattis amesema anaamini kwamba Marekani inahitaji kuendeleza ushirikiano imara na washirika wake, na inapaswa kuweka msimamo usio na...

Wagombea upinzani DRC wailaumu Tume ya Uchaguzi

0
Wagombea wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo- DRC wameilalamikia Tume ya uchaguzi nchini humo Ceni kwa kuahirisha uchaguzi uliopangwa kufanyika Jumapili ya tarehe 23 mwezi huu.Wagombea hao wamesema hawataki uchaguzi uahirishwe kwa...

Wanane wauawa katika maandamano Sudan

0
Watu wanane wameuawa katika maandamano yaliyofanyika nchini Sudan wakipinga kupanda kwa gharama ya maisha.Hasira zimekuwa zikiongezeka nchini Sudan kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa, ugumu wa maisha na kuwekewa ukomo wa kiasi cha...