Rais wa Benki ya dunia aatangaza kujiuzuru

0
Rais wa Benki ya Dunia, Jim Yong Kim ametangaza kuwa atajiuzuru mwezi ujao, ikiwa ni miaka mitatu kabla ya muhula wake kumalizika mwaka 2022. Kim ambaye anajiunga na kampuni binafsi inayoangazia uwekezaji katika mataifa yanayoendelea, amesema imekuwa ni heshima...

Serikali ya Ufaransa yaonya waandamanaji

0
Serikali ya Ufaransa imetangaza sheria kali dhidi ya waandamanaji  ikiwemo kupiga marufuku maandamano yasiyo halali na kuweka vikwazo kwa waandamanaji .Waziri Mkuu wa Ufaransa, Edouard Philippe amesema hatua hiyoni katika kukabiliana na maandamano yasiyo na vibali kutoka Serikalini.Serikali...

Jaribio la mapinduzi Gabon ladhibitiwa

0
Serikali ya Gabon imesema imerejesha hali ya utulivu nchini humo, baada ya kikundi cha askari waasi kufanya jaribio la mapinduzi, katika kipindi hiki ambapo Rais wa nchi hiyo Ali Bongo yuko nchini Morocco kwa...

Hali ya utulivu kurejea nchini Brazil

0
Serikali ya Brazil imepeleka askari wake katika mji wa Fortaleza ulikoko kaskazini mwa nchi hiyo kurejesha hali ya utulivu baada ya vitendo vya uhalifu kuongezeka kwenye mji huo katika siku za hivi karibuni. Matukio yapatayo...

Pande mbili zinagombana nchini Yemen kupataishwa

0
Mjumbe maalum wa umoja wa mataifa nchini Yemen, amerejea nchini humo kujaribu kuzisihi pande zinazohusika na mapigano nchini Yemen kutekeleza mkataba wa kusimamisha mapigano zilizotiliana saini nchini Sweden. Kila upande nchini Yemen unaohusika na mapigano...

Matokeo ya uchaguzi Drc Congo bado kutangazwa

0
Upande wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo -Drc-umekuwa ukihoji ni kwa nini matokeo ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo yanaendelea kuchelewa kutangazwa. Matokeo ya uchaguzi katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo yalikuwa yatangazwa...

Askari mmoja afariki baada ya kulipukiwa na bomu

0
Askari polisi mmoja amekufa mjini Cairo nchini Misri alipokuwa akijaribu kutegua bomu lililokuwa limetegwa karibu na kanisa moja kwenye mji huo. Askari wengine wawili waliokuwa wakisaidia na askari polisi huyo kutegua bomu hilo wamejeruhiwa, baada...

Kesi ya mfanyabiashara ya dawa za kulevya yaanza kusikilizwa Marekani

0
Kesi ya kuhusika na biashara haramu ya dawa za kulevya na mauaji inayomkabili mfanyabiashara maarufu wa dawa hizo, pamoja na kiongozi wa genge la uhalifu El chapo au Gus Man, imeanza kusikilizwa nchini Marekani. El chapo...

Marekani na Uturuki zaanza mazungumzo kuhusu usalama

0
Ujumbe wa Idara ya Ulinzi nchini Marekani umewasili mjini Ankara nchini Uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usalama baina ya mataifa hayo mawili. Wachunguzi wa siasa za Magharibi wamesema miongoni mwa mambo ambayo pande hizo...

Matokeo ya uchaguzi DRC kuchelewa

0
Tume ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo –DRC imesema matokeo ya uchaguzi mkuu uliomalizika nchini humo, huenda yakachelewa kutangazwa kwa vile, imeshindwa kupata matokeo ya uchaguzi kwa wakati. Tume hiyo ya uchaguzi ya...