Teknolojia mpya ya kuokoa maisha ya wahanga wa tetemeko Uturuki

0
Wizara ya Ulinzi ya Marekani inatumia mfumo wa teknolojia bandia kusaidia juhudi zinazoendelea za kukabiliana na maafa katika nchi za Uturuki na Syria kufuatia tetemeko la ardhi.Tetemeko hilo la ardhi lilitotokea tarehe 6 mwezi...

Apona Ukimwi

0
Watafiti wametangaza kuwa mwanaume mmoja nchini Ujerumani aliyeishi na virusi vya Ukimwi tangu mwaka 2008, amepimwa na hakuna virusi vilivyoonekana kwenye vipimo hivyo.Utafiti uliofanywa na watafiti 36 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Ujerumani, Uholanzi,...

Mbu mpya agunduliwa

0
Aina mpya ya mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria kwa kipindi cha mwaka mzima imegundulika nchini Kenya.Asili ya mbu huyo ni Asia Kusini, mbu huyo 'Anopheles stephensi', na anadaiwa kuwa ni sugu kwa dawa za...

Choo cha miaka 2,400

0
Mabaki ya choo cha zamani cha kuvuta maji (ku-flush) yamegundulika huko China katika jumba la malikale lililoporomoka katika jiji la kale la Yueyang, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.Choo hicho chenye miaka kati ya 2,200...

Ageuza ndege nyumba ya kuishi

0
Mhandisi mstaafu wa umeme wa nchini Marekani, Bruce Campell (64) amegeuza ndege aina ya Boeing 727 kuwa nyumba ya makazi katikati ya msitu anapoishi kwa miaka zaidi ya 20.Campell alinunua kiwanja cha ekari 10...

Tetemeko jingine la ardhi latikisa Uturuki

0
Tetemeko jingine la ardhi lenye ukubwa wa 6.4 katika kipimo cha Richter limetikisa aneo la Kusini la Uturuki, zikiwa zimepita siku kadhaa tangu kutokea kwa tetemeko jingine katika nchi hiyo pamoja na Syria na...

Unaweza kuamini, ila haijawahi tokea

0
Monesho ya mitindo ya mavazi yanayowashirikisha wazee kama wanamitindo ni nadra sana kufanyika, tena lile litakalohusisha wanamitindo wazee wa Kiafrika ndio adimu zaidi kutokea.Nchini Nigeria mtaalamu wa picha Malik Afegbua amepata umaarufu mkubwa duniani...

Makazi yaliyotumika Kombe la Dunia yepelekwa Uturuki

0
Qatar inapeleka nchini Uturuki nyumba zinazohamishika 10,000 ambazo zilitumika kama malazi wakati wa Kombe la Dunia la mwa 2022 kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi lliloikumba Uturuki na Syria.Takribani watu 40,000...

Kenya wafanya ibada maalum

0
Rais William Ruto wa Kenya amewataka raia wa nchi hiyo kuiombea nchi yao, ili Mwenyezi Mungu aweze kuleta neema.Rais Ruto amesema hayo wakati wa Ibada maalum ya Kitaifa, iliyofanyika kwa lengo la kumuomba Mwenyezi...

Siku ya Wapendanao

0
Leo ni Siku ya Wapendanao (Valentine's Day) ambapo watu wengi duniani huiadhimisha siku hiyo kwa kupeana zawadi mbalimbali kama kadi na maua zenye ishara ya upendo.Siku hiyo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 14 na...