Hali ya kawaida yarejea Nairobi
Umoja wa Afrika -AU na Umoja wa Mataifa – UN wamelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea katika hoteli ya Dusit mjini Nairobi nchini Kenya, Jumanne Januari 15 na kutuma salamu za pole kwa waliofiwa...
Rais wa zamani wa Ivory Coast aachiwa huru
Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai Icc imemuachilia huru aliyekuwa rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo.Majaji wa mahakama hiyo wamesema hana kesi ya kujibu kwa sababu upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha makosa dhidi...
Kansela Angela Merkel afanya ziara nchini Ugiriki
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amefanya ziara nchini Ugiriki kuonyesha mshikamano na nchi hiyo baada ya kipindi kigumu cha kubana matumizi na kuipa msaada wa kidiplomsia kuhusu ubadilishaji wa jina wa taifa jirani la Macedonia.Merkel pia amefanya mazungumzo...
Rais wa Nigeria ajihakikishia kushinda awamu ya pili ya uchaguzi
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema ana uhakika wa kushinda muhula wa pili, katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 mwezi Februari mwaka huu.Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 76 amesema hayo katika kampeni zake...
Umoja wa Afrika yajiandaa kusuluhisho mgogoro nchini Congo
Umoja wa Afrika Au umetoa wito wa kusuluhisha kwa amani mzozo wowote utakaotokana na matokeo ya uchaguzi nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo yaliyompatia ushindi mgombea wa upinzani Felix tshisekedi .Taarifa kutoka ofisi ya mwenyekiti wa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi DRC (Ceni) yamtangaza Tshisekedi kuwa mshindi wa urais.
Tume ya
Uchaguzi nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo imesema kuwa Mgombea urais wa
Upinzani Felix Tshisekedi ameshinda uchaguzi wa Rais nchini humo.Matokeo ya
uchaguzi ya awali kutoka katika majimbo mbalimbali yanaonyesha mgombea huyo wa
upinzani amemshinda mgombea...
Hatua zaanza kuchukuliwa dhidi ya ugonjwa wa Ebola nchini
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto imeanza kuchukua hatua za dharura za kukabiliana na ugonjwa wa Ebola katika mikoa iliyo mpakana na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo -Drc.Akizungumza na wananchi Mkoani...
Ujumbe wa Afghanistan wawasili Pakistan kwa ajili ya mazungumzo
Ujumbe wa serikali ya Afghanistan umewasili nchini Pakistan ukijaribu kuishawishi serikali ya nchi hiyo kuwashawishi wapiganaji wa kikundi cha Taleban wa nchini Afghanistan kukubaliana na mpango wa amani wa nchi yao.Kumekuwa na wapiganaji wa...
Rais wa Sudan kuhutubia raia wake
Rais Omar Al Bashir wa Sudan muda wowote kuanzia sasa anatarajiwa kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Khartoum, akijaribu kuwatulinza waandamanaji ambao wamekuwa wakiandamana kupinga Serikali yake.Watu hao wamekuwa wakimshinikiza kiongozi huyo kuachia madaraka kwa...
Kim Jong Un awasili nchini China
Kiongozi wa Korea
Kaskazini Kim jong Un amewasili Nchini China kwa ziara ya siku nne .Akiwasili
mjini Beijing kwa kutumia usafiri wa treni Kim amepokelewa na vingozi
mbalimbali wa serikali ya china na baadae anatarajiwa kukutana na...