Idadi ya waliokufa Brazil yaongezeka

0
Idadi ya watu waliokufa baada ya kuvunjika kwa kingo za bwawa moja la maji lililopo kwenye mgodi mkubwa wa chuma wa Vale nchini Brazil imeongezeka na kufikia 58.Watu wengine zaidi ya mia tatu, wengi wao wakiwa wafanyakazi...

Bwawa laleta maafa Brazil

0
Vikosi vya uokoaji nchini Brazil vinaendelea kuwatafuta watu walionusurika kufuatia kuvunjika kwa kingo za bwawa moja la maji lililopo kwenye mgodi mkubwa wa chuma wa Vale.Takribani watu 200 hawajulikani walipo kufuatia tukio hilo...

Shamin Khan atunukiwa Tuzo ya juu ya heshima

0
Aliyewahi kuwa Naibu Waziri kwenye wizara mbalimbali nchini, -Shamim Khan ametunukiwa tuzo ya juu ya heshima (Pravasi Bharati yan Samman Award) na Rais wa India, -Ram Nath Kovind.Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na wizara ya...

Dunia yamlilia Mtukudzi

0
Watu mbalimbali wakiwemo wasanii wameendelea kutuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu na jamaa wa Mwanamuziki maarufu wa nchini Zimbabwe na Afrika, - Oliver Mtukudzi kufuatia kifo cha mwanamuziki huyo.Baadhi ya wasanii hao ni wale wanaounda...

Mwanamuziki Mtukudzi afariki dunia

0
Mwanamuziki maarufu nchini Zimbabwe, Oliver Mtukudzi amefariki dunia katika Hospitali moja mjini Harare alikokuwa akipatiwa matibabu kwa takriban mwezi mmoja.Katika uhai wake Mtukudzi amefanya ziara kwenye nchi mbalimbali duniani na kujizolea mashabiki wengi ambapo...

Ethiopia na Somalia kuwakabili Al Shabaab

0
Ethiopia  na Somalia  zimekubaliana kuunganisha nguvu ili kupambana na wanamgambo wa Al Shabaab wa nchini Somalia ambao wameendelea kuhatarisha usalama wa nchi hizo na nchi nyingine jirani.Mataifa hayo yamefikia makubaliano hayo baada ya wanamgambo hao kufanya shambulio...

Tshisekedi aendelea kutambuliwa

0
Nchi mbalimbali za Afrika pamoja na Jumuiya za Kimataifa zimeendelea kumtambua Felix Tshisekedi kuwa ndiye rais ajaye wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya mahakama ya katiba ya Jamhuri hiyo  kuidhinisha ushindi wake.Mahakama hiyo ya...

Mlipuko wa bomu waua watu 21 nchini Colombia

0
Watu 21 wamekufa na wengine 68 wamejeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu lilitegwa ndani ya gari nje ya chuo cha polisi nchini Colombia.Polisi nchini humo wamesema bomu hilo lilitegwa katika gari hilo lililengwa kwa...

Umoja wa Afrika wataka kusitishwa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi Congo

0
Umoja wa Afrika AU umeomba kusitishwa kutangazwa matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa urais ambayo yanaendelea kuibua maswali mengi nje na ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Rais wa Umoja huo Paul kagame amekutana...

Gbagbo azuiwa na Icc kuondoka nchini Uholanzi

0
Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai Icc, iliyoko huko The Hague, Uholanzi  imemzuia rais wa zamani wa Ivory Coast,Laurent Gbagbo, kuondoka nchini humo licha ya kuachiwa huru.ICC imemzuia Gbagbo kuondoka Uholanzi, akiwa anajiandaa kurejea...