Maelfu waandamana Italia

0
Maelfu ya raia wa Italia wameandamana katika mitaa mbalimbali ya mji wa Roma kupinga sera za kiuchumi za serikali ya nchi hiyo.Waandamanaji hao wamedai kuwa serikali ya nchi hiyo iliyoingia madarakani mwaka 2018...

Sierra Leone yalia na vitendo vya udhalilishaji

0
Rais  Julius Maada Bio wa Sierra Leone ametangaza hali ya hatari  nchini humo kufuatia kukithiri kwa vitendo vya udhalilishaji.Bio ametangaza hali hiyo baada ya kusomewa takwimu zinazoonesha kuongezeka kwa vitendo hivyo vya udhalilishaji, ambapo viliongezeka mara mbili zaidi...

Misaada yawasili Venezuela

0
Malori yaliyobeba misaada ya kibinadamu kwa ajili ya raia wa Venezuela, yamewasili kwenye mpaka wa nchi hiyo na Colombia.Misaada hiyo imewasili wakati  huu ambapo nchi kadhaa za Ulaya na zile za Amerika ya Kusini zikimtaka Rais Nicolas...

UNICEF yapata wasiwasi kuhusu watoto Iraq

0
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema kuwa lina wasiwasi na usalama wa watoto wanaoishi katika kambi za wakimbizi nchini Iraq, katika kipindi hiki ambapo nchi hiyo inaelekea katika msimu wa baridi kali.Katika taarifa...

Guido alishutumu Jeshi

0
Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela ambaye amejitangaza kuwa Rais wa serikali ya mpito ya nchi hiyo Juan Guido, amelishitumu jeshi la nchi hiyo  kwa kuendelea kumuunga mkono Rais Nicolas Maduro.Guido amelishutumu jeshi la Venezuela kwa kuzuia misaada ya...

‘Nabii’ hatiani kwa kudai anatibu Ukimwi

0
Mahakama nchini Zimbabwe imemtia hatiani mchungaji mmoja kwa makosa ya kughushi na imemtoza faini ya Dola 700 za Kimarekani kwa kudanganya kwamba ana dawa ya mitishamba inayoponya Ukimwi.Awali Nabii huyo Walter Magaya alikiri...

Guterres azungumzia mgogoro wa Venezuela

0
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa  umoja huo hautajihusisha na jitihada zozote zenye lengo la kumaliza mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Venezuela.Amewaambia Waandishi wa habari jijini New York nchini Marekani kuwa hatua hiyo...

Baba Mtakatifu Francis ziarani Uarabuni

0
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis yupo katika falme za Kiarabu kwa ziara ya kiserikali na kidini.Hiyo ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Duniani katika nchi za kiarabu na ameweza...

Ajali ya ndege yaua Watano

0
Ndege ndogo ya abiria imeanguka katika makazi ya watu kwenye jimbo la California nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu watano akiwemo rubani wa ndege hiyo.Watu walioshuhudia ajali hiyo wamesema kuwa kabla ndege hiyo haijaanguka iligawanyika vipande...

Nchi za Ulaya kuinusuru Iran

0
Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya zimetafuta njia mpya za kufanya malipo kwa baadhi ya kampuni zinazofanya biashara na Iran, ili kuinusuru nchi hiyo kiuchumi baada ya Marekani kuiwekea vikwazo vipya.Mpango huo mpya...