Russia, Uturuki na Iran kumaliza mapigano Syria
Rais Vladimir Putin wa Russia amewahimiza viongozi wenzake wa Uturuki na Iran
kushirikiana ili kumaliza mapigano yanayoendelea nchini Syria.Rais Putin ametoa kauli hiyo alipokutana
na kufanya mazungumzo na Rais Recep
Tayyip Erdogan wa Uturuki na Hassan...
Buhari aahidi uchaguzi huru
Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria
amesema kuwa serikali yake itahakikisha
uchaguzi mkuu unaofanyika hapo kesho
unakua huru na wa haki.Akilihutubia Taifa kupitia
Televisheni ya nchi hiyo, Buhari amesema
kuwa Nigeria ambalo ndilo Taifa imara
zaidi kiuchumi Barani Afrika ni...
Pakistan yashutumiwa kwa mlipuko wa bomu
Serikali ya India imesema kuwa itafuata
taratibu zote za Kidiplomasia kuwafikisha katika vyombo vya sheria Wanamgambo
wote waliohusika na mlipuko wa bomu uliosababisha vifo vya watu 46 katika jimbo
la Kashmir upande wa India.India
inaishutumu Pakistan kwa kushindwa...
Airbus kutotengeneza A380
Kampuni ya kutengeneza ndege ya Airbus yenye Makao Makuu yake nchini Uholanzi imetangaza kusimamisha utengenezaji wa ndege
kubwa aina ya A380 "Superjumbo" katika kipindi cha miaka miwili
ijayo.Tangazo hilo la Airbus linafuatia kampuni
ya ndege ya...
Wanaoisaidia Yemen matatani
Bunge la seneti la Marekani limepitisha muswada
unaozuia misaada kwa Mataifa ya Kiarabu yanayopigana kuisaidia serikali ya
Yemen inayopambana na wapiganaji wa
kikundi cha Houthi cha nchini humo.Marekani ilikuwa ikitoa misaada ya kijeshi kwa
serikali ya Saudi Arabia...
Mgomo wasitisha shughuli Ubelgiji
Karibu safari zote za ndege mjini Brussels nchini Ubelgiji zimefutwa kutokana na mgomo wa wafanyakazi wanaodai nyongeza ya mishahara.Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Ubelgiji na wale wa viwanja vya ndege nchini humo...
Wafanyakazi Afrika Kusini waandamana
Vyama vya Wafanyakazi nchini Afrika Kusini vimeongoza
maandamano makubwa katika mji wa Johannesburg, maandamano yenye lengo la
kupinga sekta binafsi kupunguza wafanyakazi.Sekta ya madini nchini Afrika Kusini ndiyo imepunguza
wafanyakazi kwa kiasi kikubwa.Raia wengi wa Afrika Kusini...
Russia kuzima mtandao wa Intaneti
Russia ina mpango wa kuzima mtandao wa Intaneti
kwa muda na hivyo kujitoa kwenye mawasiliano na dunia.Hatua hiyo itafanya mawasiliano baina ya
raia na mashirika ya Russia kubaki ndani ya nchi hiyo badala ya kupitia njia...
Iran kuendelea kujiimarisha Kijeshi
Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kuwa nchi yake itaendelea kujiimarisha kijeshi na kuendeleza mpango wake wa silaha za nyuklia licha ya shinikizo kutoka kwa nchi alizozitaja kuwa mahasimu zinazotaka kudhibiti uwezo wake...
Mkuu wa Majeshi awafariji wafiwa Njombe
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amesema kuwa vyombo vya Ulinzi na Usalama vitahakikisha mauaji yanayosababishwa na imani potofu nchini yanakomeshwa.Jenerali Mabeyo ametoa kauli hiyo mara baada...