Venezuela yavunja uhusiano wa Kidiplomasia na Colombia
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Colombia.Taarifa iliyotolewa na serikali ya Venezuela imesema kuwa Maduro pia amewaamuru wawakilishi wa Kidiplomasia wa Colombia waliopo Venezuela kuondoka...
Senegal waendelea kupiga kura
Raia wa Senegal leo wanapiga kura kumchagua Rais wa nchi hiyo.Rais Macky Sall anayewania muhula wa pili wa uongozi, anatarajiwa kushinda katika uchaguzi huo.Watu milioni 6.5 wamejiandikisha kupigia kura, na matokeo rasmi...
Kazi ya kuhesabu kura yaendelea Nigeria
Maafisa wa Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria, wanaendelea kuhesabu kura kufuatia uchaguzi wa Rais uliofanyika Jumamosi Februari 23.Kazi hiyo ya kuhesabu kura ilichelewa kuanza kutokana na kuongezwa muda wa kupiga kura katika baadhi...
Papa Francis akemea vitendo vya udhalilishaji
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani
Baba Mtakatifu Francis amewataka Maaskofu
wa Kanisa hilo duniani kote kuchukua hatua dhidi ya vitendo vya udhalilishaji badala ya kutoa kauli za kulaani tu vitendo
hivyo.Baba Mtakatifu Francis ametoa kauli
hiyo wakati...
Aliyejiunga na IS ataka kurejea Marekani
Mwanamke mmoja raia wa Marekani aliyetoroka nchini
mwake na kwenda nchini Syria kujiunga na Wanamgambo wa IS miaka kadhaa
iliyopita, amesema kuwa anajutia kufanya kitendo hicho na hivi sasa anataka
kurejea nyumbani.Mwanasheria wa anayemtetea mwanamke huyo, amesema...
Moto wasababisha vifo vya watu 70 Bangladesh
Watu sabini wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa
baada ya moto mkubwa kuzuka katika ghorofa moja la makazi ya watu kwenye mji wa
Dhaka nchini Bangladesh.Jengo hilo la ghorofa licha ya kuwa makazi ya watu, pia
lilikuwa na...
Museveni kugombea Urais kwa muhula mwingine
Chama Tawala nchini Uganda kwa kauli moja kimepitisha
jina la Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo kuwa mgombea wa kiti cha urais katika
uchaguzi mkuu ujao.Endapo Museveni atashinda kiti cha urais katika
uchaguzi mkuu ujao wa nchi...
Shamima kuvuliwa uraia wa Uingereza
Serikali ya
Uingereza imemvua uraia wa nchi hiyo msichana Shamima Begum aliyejiunga na Wanamgambo wa IS wa nchini Syria akiwa na umri wa miaka Kumi
na Mitano.Habari
kutoka nchini Uingereza zinasema kuwa Shamima ambaye kwa sasa ana...
Utawala wa Trump washitakiwa
Muungano wa majimbo 16 nchini Marekani
ukiongozwa na jimbo la California umeushtaki mahakamani utawala wa Rais Donald
Trump wa nchi hiyo kuhusu uamuzi wake wa
kutangaza hali ya dharura ili kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa
ukuta...
Shambulio jingine latokea Pulwama
Askari wanne wameuawa katika jimbo la Kashmir upande wa India
kufuatia mapigano yaliyozuka baina ya skari hao na Wanamgambo wanaodhaniwa kuwa
ni wa kutoka nchini Pakistani.Mapigano hayo yametokea katika eneo la
Pulwama, mahali ambapo zaidi ya askari...