China na Ethiopia zasitisha safari za Boeing 737 Max 8
China na Ethiopia zimesitisha usafiri wa ndege kwa kutumia ndege aina ya
Boeing 737 Max 8.Hatua hiyo inafuatia ndege ya aina hiyo mali ya Shirika la Ndege la
Ethiopia kuanguka
katika mji wa Bishoftu nchini humo na
kuua...
Viongozi mbalimbali wasikitishwa na ajali ya ndege
Viongozi mbalimbali wameendelea kutoa salamu za pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu waliokufa baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia kuanguka na kuwaka moto.Salamu za hivi karibuni zimetoka kwa...
Kim amsikitisha Trump
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa
amesikitishwa kupata taarifa kuwa kiongozi mwenzake wa Korea Kaskazini, - Kim
Jong Un ameanza tena kufufua vinu vyake vya nyuklia alivyotangaza kuwa
ameviteketeza.Trump amesema kuwa anafuatilia suala hilo
kwa karibu ili...
Polisi kudhibiti mashambulio London
Uingereza imeongeza doria ya polisi katika mji wa London
ili kukabiliana na mashambulio ya watu wanaotumia visu dhidi ya watu wengine na
kusababisha mauaji ya watu wasio na hatia.Kumekuwa na matukio mengi ya watu kushambuliwa na...
Mgomo waleta adha kubwa nchini Kenya
Mgomo wa
Wafanyakazi wa usafiri wa anga nchini Kenya umeendelea na kusababisha baadhi ya
ndege kuelekezwa kutua katika nchi jirani.Wafanyakazi
hao wamegoma kupinga mpango wa serikali ya Kenya wa kuweka shughuli za usimamizi wa uwanja wa ndege
wa...
Guiado aitisha maandamano
Kiongozi wa
upinzani nchini Venezuela, - Juan Guaido
ameitisha maandamano ya nchi nzima siku ya Jumamosi Machi Tisa mwaka huu, kupinga
utawala wa Rais Nicolas Maduro.Guaido ambaye
pia amejitangaza Rais wa Mpito wa Venezuela ameyasema hayo mara baada...
Kimbunga chasababisha maafa Marekani
Zaidi ya watu Ishirini wamekufa
baada ya kimbunga kikali kuukumba mji wa Lee uliopo nchini Marekani.Uongozi wa mji huo umesema kuwa
idadi ya watu waliokufa inaweza kuongezeka, kwa kuwa bado watu wengi
hawajatolewa kwenye vifusi.Vikosi vya uokoaji...
UN yaomba msaada kwa ajili ya Yemen
Umoja wa Mataifa umewaomba Wafadhili kuchangia Dola Bilioni
4.2 za Kimarekani kwa ajili ya msaada kwa
Yemen, ambako watu Milioni 20 wanakabiliwa na uhaba wa chakula.Ombi hili limetolewa Geneva, -Uswisi na wawakilishi wa
Umoja wa Mataifa wakati...
Marekani kutoongeza viwango vya ushuru kwa China
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa
hatotangaza viwango vipya ya ushuru kwa bidhaa za China zenye thamani ya Dola
Bilioni 200 za Kimarekani.Marekani ilitarajiwa kuongeza ushuru
kwenye bidhaa zinazotoka China kutoka asilimia 10 hadi 25 kuanzia...
Macky Sall aelekea kushinda
Waziri Mkuu wa Senegal, - Mohammed Dionne
amesema kuwa Rais Macky Sall wa nchi
hiyo anaelekea kushinda kiti cha urais kwa muhula wa pili kufuatia uchaguzi
uliofanyika Jumapili Februari 24.Dionne amewaambia waandishi wa habari kuwa
matokeo ya awali...