Ajali ya treni yaua 24 DRC
Watu 24 wengi wao wakiwa watoto wamekufa na wengine Thelathini wamejeruhiwa baada ya treni kuanguka katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.Ajali hiyo imetokea kwenye jimbo la Kasai, ambapo polisi wamesema...
Rais Ramaphosa akwama kwenye treni
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ni miongoni mwa abiria wa treni iliyokwama kwa takribabi saa mbili, huku sababu za treni hiyo kufanya hivyo hazijabainika.Rais Ramaphosa alikua akitoka katika mji wa Mabopane uliopo...
Madhara zaidi ya Ida yabainika Zimbabwe
Shughuli za uokoaji zinaendelea nchini
Zimbabwe baada ya Kimbunga Ida kuyakumba maeneo mbalimbali ya nchi hiyo na
kusababisha vifo vya watu kadhaa na uharibifu wa mali.Habari kutoka nchini Zimbabwe
zinasema kuwa watu 65 wamekufa kutokana na kimbunga...
Boeing 737 MAX 8 na 9 marufuku Rwanda
Shirika la Ndege la Rwanda (RCAA) limewaagiza marubani wote na kampuni zote za ndege nchini humo kutoendesha ndege za Boeing 737 MAX 8 na 9 katika anga ya nchi hiyo.Rwanda inaungana na...
Shambulio la kigaidi lasababisha vifo vya watu 40
Watu Arobaini wameuawa na wengine zaidi ya Ishirini wamejeruhiwa, baada ya kutokea kwa mashambulio katika misikiti miwili kwenye mji wa Christchurch, huko New Zealand.Waziri mkuu wa New Zealand, - Jacinda Ardern amelitaja...
Tatizo la kukatika umeme Venezuela lamalizika
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuwa tatizo la kukatika kwa umeme lililokuwa linalikabili Taifa hilo limekwisha na maisha yanaendelea kama kawaida.Nchi hiyo imejikuta katika mgogoro mkubwa wa kisiasa baada ya wanasiasa wawili...
Algeria yajiandaa kuunda serikali
Waziri Mkuu wa Algeria, - Roureddone Bedoui amesema kuwa serikali yake inaandaa mchakato wa uundaji wa serikali mpya, serikali itakayowajumuisha watu wa kada mbalimbali na umri tofauti ili kukidhi mahitaji ya raia wa...
Wanawake wanaharakati wafikishwa mahakamani Saudia
Kwa mara ya kwanza baada ya mwaka mmoja, Wanawake
kadhaa wanaharakati raia wa Saudi Arabia waliokuwa wakishikiliwa nchini humo
wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka.Wanaharakati mbalimbali duniani wamekuwa
wakiishinikiza serikali ya Saudi Arabia kuwaachia wanaharakati hao, baadhi yao
wakiwa...
Kisanduku cha ndege ya Ethiopia kupelekwa nje
Serikali ya Ethiopia imesema kuwa
itakipeleka kisanduku cha kurekodia mwenendo wa ndege yake aina ya Boeing 737
MAX 8, iliyoanguka nchini humo Jumapili iliyopita nje ya nchi kwa ajili ya
uchunguzi zaidi.Ethiopia imetoa tangazo hilo huku tayari
nchi...
Bouteflika kutowania tena Urais
Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria
amesema kuwa hatawania tena kiti hicho kwa muhula mwingine wa Tano.Katika taarifa yake Rais Bouteflika
aliyeiongoza Algeria kwa muda wa miaka Ishirini amesema kuwa kipaumbele
chake kwa sasa ni kuangalia hali ya...