Jeshi lataka Bouteflika aondolewe madarakani
Mkuu wa Majeshi wa nchini Algeria
Luteni Jenerali Gaed Salah ametaka Rais wa nchi hiyo Abdelaziz Bouteflika kutangazwa kuwa hawezi kuongoza tena taifa hilo kutokana na sababu za kiafya.Akilihutubia Taifa kupitia kituo cha...
Waathirika wa Idai waendelea kupata msaada
Meli iliyobeba msaada wa tani Elfu Mbili za chakula, maji
na dawa uliotolewa na raia wa kawaida wa
Msumbiji kwa ajili ya kuwasaidia wenzao walioathiriwa na kimbunga Idai siku 12
zilizopita, imewasili katika mji wa Beira.Kazi inayoendelea...
Balozi Mchumo aula INBAR
Balozi Ali Mchumo ameteuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa ya INBAR yenye makao yake Makuu nchini China.Balozi Mchumo ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali, atahudumu katika nafasi hiyo kwa muda wa miaka mitatu.INBAR...
Dereva apakia matofali kwenye gari la wagonjwa
Naibu Spika wa Bunge la
Uganda, - Jacob Oulanyah amesema kuwa dereva aliyepakia matofali katika gari la
kubeba wagonjwa atashitakiwa.Katika akaunti yake ya
mtandao wa kijamii wa Twiter, -Oulanyah amesema kuwa dereva huyo amevunja
sheria za utumishi wa...
Fedha za ujenzi wa ukuta zaanza kutolewa
Wizara ya Ulinzi ya Marekani imeidhinisha
malipo ya Dola Bilioni Moja za Kimarekani zitakazolipwa kwa Wahandisi wa jeshi la nchi hiyo kwa ajili ya
ujenzi wa ukuta katika mpaka wa Marekani
na Mexico.Fedha hizo ambazo ni za...
Kauli ya Mwalimu Tabichi baada ya kupata Tuzo
Mwalimu wa Sayansi kutoka nchini Kenya, - Peter Tabichi aliyeshinda tuzo ya kuwa
Mwalimu bora Duniani na kupatiwa zawadi ya Dola Milioni Moja za Kimarekani, amewataka
walimu duniani kote kujitolea, kufundisha kwa moyo na kutotanguliza mbele
maslahi...
Mkuu wa Majeshi wa Mali afukuzwa kazi
Rais Ibrahim Boubacar Keita wa Mali
amemfukuza kazi Mkuu wa Majeshi wa nchi
hiyo, ikiwa ni siku moja tu baada ya
kutokea kwa mauaji ya watu 134, ambao ni
wafugaji katika kijiji cha Fulani kilichopo kwenye mji wa...
Mlipuko waua 44 China
Idadi ya watu
waliokufa baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika kiwanda kimoja cha kutengeneza
mbolea nchini China imefikia 44 na wengine 640 wamejeruhiwa.Habari kutoka
nchini China zinaeleza kuwa, mlipuko huo umesababisha kiwanda hicho cha
Tianjiayi kilichopo kwenye mji...
Polisi Kenya yakamata Dola Milioni 20 Bandia
Jeshi la Polisi nchini Kenya
linawashilikia watu Sita baada ya kukamata zaidi ya Dola Milioni 20 za Kimarekani ambazo ni
bandia katika tawi moja la benki ya Barclays lililopo jijini Nairobi.Katika taarifa yake,
Mkurugenzi wa Upelelezi wa...
Kenya yatakiwa kushughulikia tatizo la njaa
Raia wa Kenya wameendelea na kampeni yao
katika mitandao mbalimbali ya kijamii inayojuliana kama WeCannotIgnore kwa lengo la kuihamasisha serikali kushughulikia
tatizo la ukame na njaa linaloyakabili majimbo mbalimbali ya nchi hiyo.Kampeni hiyo imeanzishwa baada ya...