Wanaomuunga mkono Haftar wajisalimisha
Baadhi
ya wapiganaji wanaomuunga mkono Mbabe wa kivita nchini Libya, - Khalifa Haftar
wamejisalimisha kwa majeshi ya serikali ya mpito ya nchi hiyo na kuweka chini
silaha zao chini.Wapiganaji
hao wamejikuta wakijisalimisha baada ya majeshi ya serikali...
Sudan wataka utawala wa Kiraia
Waandamanaji
wanaoipinga serikali ya mpito ya kijeshi nchini Sudan bado wako nje ya Makao
Makuu ya jeshi la nchi hiyo, wakishinikiza uongozi wa kijeshi kurejesha utawala
wa kiraia na kufuata matakwa ya wananchi.Waandamanaji
hao wameahidi kuendelea na maandamano
yao...
Al- Bashir ang’olewa
Rais Omar Al-Bashir wa Sudan ameondolewa madarakani na amekamatwa,
baada ya kuongoza Taifa hilo kwa muda wa miaka Thelathini.Akilihutubia Taifa kupitia kituo cha Televisheni cha nchi hiyo, Waziri
wa Ulinzi wa Sudan, -Awad Ibn Ouf
amesema kuwa...
Jeshi la Sudan kutoa taarifa kuhusu maandamano yanayoendelea
Habari kutoka nchini Sudan zinasema
kuwa Jeshi la nchi hiyo muda wowote kuanzia hivi sasa linatarajiwa kutoa
taarifa ya hali ilivyo sasa nchini humo kufuatia kuendelea kwa maandamano yanayoshinikiza
kuondoka madarakani kwa Rais Omar
Al-Bashir.Kwa mujibu wa habari...
Bensalah Rais wa mpito Algeria
Abdelkader Bensalah ameteuliwa kuwa Rais wa
mpito wa Algeria, kumrithi Abdelaziz Bouteflika
ambaye alijiuzulu kufuatia shinikizo la Jeshi la nchi hiyo pamoja na
Raia wiki iliyopita, baada ya kukaa madarakani kwa kwa muda wa miaka Ishirini.Bensalah ambaye...
Vikosi vya Sudan vyatawanya waandamanaji
Vikosi vya serikali nchini Sudan
vimelazimika kutumia mabomu ya machozi pamoja na risasi za mpira kutawanya
waandamanaji katika mitaa mbalimbali ya mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, kushinikiza kujiuzulu kwa Rais Omar Al-Bashir.Waandamanaji hao walifika hadi...
Ramaphosa ashutumu mashambulio kwa wageni
Rais Cyril
Ramaphosa wa Afrika Kusini ameshutumu mashambulio ya hivi karibuni dhidi ya
wageni nchini humo na kuviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua
wahusika wote.Katika
taarifa yake, Rais Ramaphosa amesema kuwa mashambulio hayo ambayo hasa yaliwalenga...
Wanawake Laki Tatu hufa wakati wa kujifungua
Takribani
Wanawake Laki Tatu duniani kote, wengi wao kutoka nchi zinazoendelea wanakufa
kila mwaka wakati wa kujifungua kwa njia ya upasuaji.Utafiti
uliofanywa na Chuo Kikuu cha Queen Mary kilichopo jijini London nchini
Uingereza unaonyesha kuwa vifo vya aina...
Rais Museveni kusafiri kwa Treni Kenya
Rais Yoweri
Museveni wa Uganda anatarajiwa kusafiri kwa kutumia treni ya kisasa kutoka kwenye mji wa Mombasa kwenda mji mkuu wa
Kenya, - Nairobi na kuwa kiongozi wa kwanza kutoka nje ya Kenya kusafiri kwa treni
hiyo.Katika...
Maelfu waugua ugonjwa wa kuhara Beira
Wafanyakazi wa Idara
ya Afya katika mji wa Beira nchini Msumbiji, moja kati ya miji iliyoathiriwa
zaidi na kimbunga Idai, wanaendelea
kuwatibu maelfu ya watu wanaogua ugonjwa wa kuhara, ugonjwa unaoelezwa kuwa ni dalili
ya awali ya Kipindupindu.Hadi...