Afrika Kusini yaomba msaada kufuatia mafuriko
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amewaomba watu
wanaoweza kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo
Jumatatu wiki hii na kusababisha vifo vya watu 60, kutoa msaada wa haraka.Rais Ramaphosa amesema kuwa serikali yake...
Sudan na Libya kujadiliwa kwa dharula na AU
Mkutano wa dharula wa Umoja wa Afrika (AU)
wenye lengo la kujadili hali ya Sudan na Libya unafanyika hii leo nchini Misri.Rais Abdel Fattah Al - Sisi wa Misri, ambaye
ni Mwenyekiti wa sasa wa AU...
Mazishi ya pamoja yafanyika Sri Lanka
Sri Lanka imefanya mazishi ya kwanza ya
pamoja ya watu waliokufa katika mfululizo wa mashambulio ya mabomu ya kujitoa
muhanga, yaliyotokea kwenye Makanisa na hoteli kadhaa wakati wa Sikukuu ya Pasaka.Mazishi hayo ya pamoja ya miili...
Milipuko Sri Lanka yaua watu 137
Watu 137 wameuawa na mamia wengine wamejeruhiwa katika mfululizo wa mashambulio dhidi ya makanisa na hoteli nchini Sri Lanka.Habari kutoka nchini Sri Lanka zinasema kuwa milipuko Sita imeripotiwa katika makanisa Matatu yaliyopo kwenye...
Tani Elfu 18 za mchele zateketezwa
Maafisa wa serikali ya Ivory Coast wameteketeza
Tani Elfu 18 za mchele ambao umeonekana haufai kwa matumizi ya binadamu.Mchele huo uliingizwa nchini Ivory Coast
ukitokea Myanmar na kabla ya kuingia nchini humo, meli iliyobeba mchele huo
ilikataliwa...
Mapigano Tripoli yaua watu 174
Watu 174 wamekufa na wengine 758 wamejeruhiwa wakati wa mapigano baina ya wapiganaji wanaomuunga mkono Mbabe wa kivita nchini Libya, - Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vya serikali.Shirika la Afya Duniani (WHO)...
Rais Al-Sisi kuongezewa muda
Bunge la Misri linatarajia kupiga kura hii leo kufanyia mabadiliko Katiba ya nchi hiyo, mabadiliko yatakayomuwezesha Rais Fattah Al-Sisi kuongezewa muda wa kukaa madarakani hadi mwaka 2030.Mabadiliko hayo ya Katiba pia yatamuwezesha...
AU yaionya Sudan
Baraza la Amani na Ulinzi la Umoja wa
Afrika limeipa Serikali ya Mpito ya Kijeshi ya Sudan muda wa siku 15 uwe
umekabidhi madaraka kwa utawala wa Kiraia, la sivyo nchi hiyo itasimamishwa
uanachama wa Umoja wa...
Kanisa la Notre-Dame kujengwa upya
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa
ameahidi kulijenga upya kanisa kongwe la
Katoliki la Notre-Dame lililopo jijini Paris nchini Ufaransa baada ya moto
mkubwa kuteketeza kanisa hilo.Kanisa hilo ni moja ya makanisa maarufu
duniani na limekua likitembelewa na...
Pompeo akutana na Guido
Waziri
wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo amekutana na kiongozi wa upinzani
nchini Venezuela na mtu aliyejitangaza kuwa Rais wa serikali ya mpito wa nchi
hiyo Juan Guido.Viongozi
hao wamekutana katika nchi jirani ya Colombia huku...