Aliyekutwa amefariki Marekani adaiwa ni Mtanzania

0
Wapelelezi nchini Marekani wamefanikiwa kuutambua mwili wa kijana aliyekutwa amefariki dunia kwenye fukwe huko Galveston sland, Texas miaka mitatu iliyopita.Polisi wa Galveston wameutambua mwili huo kuwa ni wa Calvin Mbwambo (26), na kudai kuwa...

Nimrod Mkono afariki dunia

0
Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara na Wakili maarufu nchini Nimrod Mkono amefariki dunia hii leo.Mdogo wa Marehemu Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha kaka yakemapema hii leo nchini Marekani.

Serikali yaomba radhi kufuatia sakata la “Prison Break”

0
Kufuatia kurudishwa kwa Thabo Bester nchini Afrika Kusini baada ya kujitengenezea kifo chake, Serikali ya Afrika Kusini imewaomba radhi wananchi pamoja na familia za waathirika wa majanga mikononi mwa Bester kufuatia kutoroka kwa mtuhumiwa...

Baiskeli ya boksi, utainunua?

0
Mhandisi mmoja maarufu katika chaneli ya YouTube ya The Q ametengeneza baiskeli yenye matairi ya kiboksi, tofauti na ilivyo sasa kwa matairi kuwa duara na baiskeli hiyo inafanya kazi vizuri kabisa.Si wazo jipya kuwa...

Atuhumiwa kuchanganya damu yake kwenye vinywaji

0
Mgahawa mmoja nchini Japan umemfukuza kazi mhudumu wake, baada ya kumshutumu kuchanganya damu yake kwenye vinywaji vya aina ya ‘cocktails’ alivyotengeneza.Katika taarifa yake kupitia ukurasa wake wa Twitter, mgahawa huo unaojulikana kwa jina la...

Walionacho wakumbushwa kuwajali wasio nacho

0
Askofu wa Jimbo Katoliki la Tunduru - Masasi Filbert Mhasi amewakumbushaWatanzania walionacho kuwa sehemu ya furaha, upendo na amani kwa wengine ambao hawajajaliwa kuwa nacho na wanaoteseka kwa kukosa mahitaji mbalimbali.Askofu Mhasi ametoa wito...

Wayakumbuka mateso ya Yesu kwa kupigiliwa msalabani

0
Ikiwa leo ni siku ya Ijumaa Kuu kwa Waumini wa dini ya Kikristo, wengi huitumia siku hii kufanya Ibada na kuyakumbuka mateso ya Yesu Kristo.Wengine wamekuwa wakiigiza na wengine wakifanya uhalisia wa mateso yanayoelezwa...

Kompyuta inayoongozwa na mawazo

0
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Sydney (UTS) nchini Australia wamekuja na teknolojia inayotumia sensa ambayo inaruhusu kuongoza roboti au kompyuta kwa njia ya mawazo.Kompyuta hizo zinazoendeshwa kwa kutumia mawazo ya namna mtu...

Kichanga kilichookolewa Uturuki chaunganishwa na mama yake

0
Mtoto mchanga aliyeokolewa kwenye kifusi nchini Uturuki saa 128 baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi, ameunganishwa na mama yake mzazi Yasemin,takribani miezi miwili baada ya tetemeko hilo.Baada ya mtoto huyo mchanga...