Siri ya Mkoba wa Malkia Elizabeth kubebwa kila alipokwenda
Imezoeleka wanawake wengi hubeba mikoba kwa madhumuni ya mapambo, au kuongeza mwonekano mzuri kutokana na vile ambavyo wamevaa kwa siku hiyo.Hii ni tofauti kwa Malkia Elizabeth II, ambaye yeye alipochagua kutoka na kwenda...
Maeneo hatari kwa watalii kutembelea duniani
Duniani kuna baadhi ya maeneo ambayo yana sifa ambazo si za kuvutia.Mamlaka za nchi husika zimepiga marufuku maeneo hayo kutembelewa, ama wameweka utaratibu maalum kwa watu kuzuru kwenye maeneo...
TBC Kuboresha matangazo yake Nchini
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaandaa mfumo mzuri wa kulibadilisha shirika la Utangazaji Tanzania ili kuweza kuhimili ushindani wa ndani na nje ya nchi ikiwemo maslahi na miundombinu kwa wafanyakaziNaibu waziri...
Chapati ‘Rolex’ yenye 204kg yavunja rekodi Uganda
Chapati ‘Rolex’ kubwa zaidi yenye kilo 204.6 (451 Ib) imepikwa na Raymond Kahuma na wenzake nchini Uganda na kuifanya ivunje rekodi ya ukubwa nchini humo.Raymond na wenzake wamefanya kazi ya maandalizi kwa miezi kadhaa...
Unafahamu kuwa kuna watu husikia Rangi?
Baadhi ya watu huzaliwa na tatizo la kutokuona rangi kabisa unaojulikana kisayansi kama achromatopsia. Japo wanakuwa na uwezo wa kuona kila kitu bila kujua ni cha rangi gani.Tatizo hilo husababishwa na jenetiki na huweza...
NEMC yapata suluhu ya vibali kwa wachimbaji wa mchanga
Wachimbaji wa mchanga kwakutumia machepe na wakandarasi wa Mkoa wa Dar es salaam wamesema kutolewa kwa mwongozo na vibali vya kutolea mchanga kwenye mito kutawapunguzia usumbufu wa kukamatwa na Jeshi la polisi katika kujitafutia...
Afisa maudhui CHADEMA kizimbani
Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano...
Ghana yasherehekea miaka 63 ya uhuru
Raia wa Ghana, leo wanasherehekea miaka 63 ya uhuru wa Taifa hilo.Ghana ilitawaliwa na Uingereza na kupata uhuru wake chini ya Rais Kwame Nkurumah Machi 6, 1957.Ghana ilikuwa ni nchi ya kwanza barani Afrika...