Martinez achora tattoo ya Kombe la Dunia

0
Kipa wa timu ya Taifa ya Argentina, Emiliano Martinez amechora tattoo ya Kombe la Dunia ambalo wamelinyakua mwaka huu katika michuano iliyofanyika Qatar.Martinez anakuwa mchezaji wa pili kutoka katika timu hiyo kujichora tattoo akitanguliwa...

Majaliwa azungumza na watumishi Mkuranga

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani akiwa katika siku yake ya kwanza ya ziara yake mkoani humo.

Marekani yalaani machafuko Congo

0
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema kuongezeka kwa ghasia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kunaleta hatari kwa mamilioni ya watu wanaolazimika kukimbia makazi yao.Mapigano nchini humo yamepamba moto katika siku za...

Korea Kusini kuwalipa wanandoa watakaopata watoto

0
Mji wa Changwon nchini Korea Kusini kuwakopesha wanandoa ili wapate watoto zaidi kutokana na kuwepo kwa upungufu wa watu katika mji huo.Kiasi cha Won milioni 100 (₩ 100,000,000) takribani shilingi milioni 217 za...

Wagonjwa wa Corona waongezeka Marekani

0
Raia mmoja wa kimarekani akutwa na virusi vya corona hivyo kuongeza idadi ya wamarekani walioambukizwa kufikia 13 na tayari wamewekwa chini ya uangalizi maalum.Raia huyo alipatwa na virusi hivyo wakati akiwa San Diego chini...

Houthi wawaachilia watoto wawili

0
Wapiganaji wa kikundi cha Houthi cha nchini Yemen wametangaza kuwa wamewaachia watoto wawili wa kiume wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Ali Abdallah Saleh waliokamatwa mara baada ya kifo cha baba yao.Watoto hao wa...

Brazil yakubali kupokea msaada

0
Hatimaye serikali ya Brazil imesema iko tayari kupokea misaada ya Kimataifa, kusaidia kuzima moto wa msituni unaondelea kuteketeza misitu ya Amazoni iliyoko nchini humo na inayotegemewa na mataifa katika nchi za Amerika ya...

Mafuriko yaua zaidi ya watu 70 Indonesia na Timor Kaskazini

0
Zaidi ya watu 70 wamefariki na wengine wengi wahawajulikani walipo baada ya mafuriko na maporomoko ya ardhi kuyakumba baadhi ya maeneo nchini Indonesia na Timor Mashariki.Msemaji wa Idara ya Kupambana na Majanga ya Indonesia,...

Trump na Kim kukutana tena

0
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amesema Rais Donald Trump wa Marekani na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un watakutana kwa mara ya pili hivi karibuni.Marekani inataka muendelezo wa mazungumzo...