Khosi aondoka na milioni 200

0
Mwanadada Khosi Twala (25) kutoka Afrika Kusini ameibuka mshindi wa shindano la Big Brother Titans lililojumuisha washindani 24 kutoka Afrika Kusini na Nigeria.Mshindi huyo mbali na mali nyingine ziambatanazo na ushindi huo, ikiwemo nyumba,...

Makamu wa Rais wa Marekani atoa orodha ya wasanii wa Tanzania anaowasikiliza

0
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ametoa orodha ya nyimbo 25 anazosikiliza wakati akiwa barani Afrika kwenye ziara nchini Ghana, Tanzania na Zambia.Katika orodha hiyo yenye mahadhi ya nyimbo zenye jumbe mbalimbali Kamala...

Bikira Jane apata mtoto

0
Mwigizaji mashuhuri wa Marekani, Gina Rodriguez na mumewe, Joe LoCicero wamefanikiwa kupata mtoto wa kwanza miaka sita tangu wakutane kwa mara ya kwanza.Rodriguez na mumewe walikutana wakati wa uandaaji wa tamthiliya ya Jane the...

Mwigizaji Lance Reddick afariki dunia

0
Lance Reddick, mwigizaji maarufu katika filamu za The Wire na John Wick amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60.Nyota huyo ambaye pia alikuwa mwanamuziki alifariki kifo cha asili mapema Ijumaa nyumbani kwake jijini...

Tuzo ya ubinafsi kwa TEMS

0
Mwanamuziki Temilade Openiyi maarufuTEMS wa nchini Nigeria amelalamikiwa na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa tuzo za Oscars, baada ya kuvaa pambo kubwa kichwani lililowaziba wengine wasione yanayoendelea na hivyo kuzua gumzo mitandaoni.Mwanamuziki...

Wakongwe wa Taarab kuchangia watoto njiti

0
Wanamuziki wakongwe katika tasnia ya muziki wa Taarab hapa nchini wanatarajia kufanya tamasha kubwa lililopewa jina la Raha za Pwani 2023, kuchangia vifaa kwa ajili ya watoto njiti visiwani Zanzibar.Wasanii hao wakiongozwa na Khadija...

Selena Gomez ampindua Kylie

0
Mwanamuziki na Mwigizaji Selena Gomez mwa nchini Marekani ameingia kwenye rekodi ya dunia 'Guiness World Record' kwa mara nyingine tena baada ya kumpindua mwanamitindo Kylie Jenner wa nchi hiyo na kuwa mwanamke mwenye wafuasi...

Kiki za malkia wa Sungura

0
Wewe kama unadhani kiki zilianza jana au juzi, mpwa unajidanganya.Kiki zilianza karne nyingi nyuma na pengine hujawahi kumsikia Malkia wa Sungura, Mama aliyefanikiwa kuingia kwenye rekodi ya dunia kwa kusuka mkasa wa kipekee.Anaitwa Mary...

‘Blueticks’ kulipiwa

0
Wapenda mitandao ya kijamii na watu mashuhuri wengi wamefikia nafasi ya kuwa na wafuasi wengi na maudhui yanayopendwa na wengi, hivyo kuwafanya kupata 'verification' ya tiki ya bluu.Mkurugenzi Mtendaji wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza...

Buti za laki 8

0
Buti za 'Big Red Boot' (BRB) zilizozusha gumzo kwenye mitandao ya kijamii kutokana na bei yake kuwa kubwa ikilinganishwa na muonekano wake zimeisha madukani siku tatu tu tangu zianze kuuzwa rasmi.Buti hizo za chapa...