Ataka kuvunja rekodi kwa kupika saa 97 mfululizo

0
Huko nchini Nigeria mfanyabiashara wa migahawa na mwandishi wa maudhui ya chakula, Hilda Baci maarufu kama Food by Hilda,  ametangaza  jaribio lake la kuvunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa mtu mmoja kupika muda...

Yanga yajiimarisha kileleni

0
Klabu ya soka ya Yanga imendelea kusalia kileleni baada ya kuwachapa maafande wa Tanzania Prisons mabao 2-1 kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mkoani Rukwa.Mabao ya Yanga yamefungwa na kiungo wake Feisal Salumu dakika ya...

Harmonize, Kajala, Paula wahojiwa polisi

0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa linaendelea kuchunguza tuhuma za kusambaa kwa picha za utupu za mwanamuziki Rajabu Kahali, maarufu Harmonize.Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Lazaro Mambosasa imeeleza...

Vanessa Mdee aendelea kukipaisha Kiswahili

0
Msanii na Mrembo kutoka nchini Tanzania, Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi ambaye pia ni msanii kutoka nchini Marekani mwenye asili ya Nigeria, kwa pamoja wameandika kitabu kiitwacho ‘SWAHILI 101...

Mtanzania achaguliwa kuwa Balozi wa Universal Music Group Afrika Masharaki

0
Sallam SK ambaye ni Meneja wa mwanamuziki amechaguliwa na kampuni inayosimamia wasanii mbalimbali duniani kuwa balozi wake Afrika Mashariki hatua inayotazamiwa kusaidia kukuza muziki wa ukanda huu.Hayo yameelezwa na mwanamuziki Diamond Platnumz wakati lebo...

Peter Mollel (Pierre Liquid) akutwa na corona

0
Msanii wa Maigizo na Mchekeshaji 'Pierre Liquid' amethibitisha kuwa na virusi vya corona vinavyosababisha homa kali ya MapafuAkizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mwanaspoti Pierre amesema kwa sasa yupo hospitali ya...

Album za muziki zilizotoka 2021

0
Hizi ni miongoni mwa albamu zilizoachiwa mwaka 2021,Je ni albamu gani kati ya hizi huchoki kusikiliza?.

Dkt. Abbasi aungana na wasanii kuwaburudisha waliohudhuria Tamasha la Bagamoyo

0
Wasanii wa Bongo Fleva na Muziki wa Taarabu wanakiwasha katika Tamasha la 40 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni lililozinduliwa leo Oktoba 29, 2021 na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa...