NYOSHI EL SADAAT WASANII TUNAPATA ELFU 30 KWA SHOW

0
https://www.youtube.com/watch?v=nsfwOaRT3y0&t=20s

RC MAKONDA : KAMA HARMONIZE ANATUMIA BANGI AKIRUDI ATASUKUMWA NDANI

0
https://www.youtube.com/watch?v=NNQwrd6OGxU

Marioo kinara chati ya muziki TBC FM

0
Mwanamuziki Omary Mwanga almaarufu Marioo ameendelea kuing'ang'ania nafasi ya kwanza katika chati ya Top 20 za muziki TBC FM kwa wiki tatu mfululizo.Wimbo wake wa Mi Amor ambao bado umeendelea kuwa zeze masikioni mwa...

Will Smith afungiwa miaka 10

0
Mwigizaji Will Smith hatoruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Oscar kwa miaka 10 kutoka sasa ikiwa ni adhabu baada ya kumpiga kibao Mchekeshaji Chris Rock jukwaani wakati wa Tuzo hizo za mwaka 2022.Bodi ya Tuzo hizo...

Jennifer Lopez achumbiwa tena na Ben Affleck

0
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez (52) na Ben Affeck (49) wamechumbiana tena baada ya kurejesha uhusiano wao mnamo 2021.JLo alitangaza uchumba huo Ijumaa katika video fupi kupitia jarida la mashabiki wake liitwalo ‘On The...

Filamu ya Royal Tour kuoneshwa kwa umma Mei 8

0
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Filamu ya Tanzania: The Royal Tour amesema kuwa filamu hiyo itaoneshwa kwa wananchi wote kupitia vituo vya televisheni vya ndani Mei 8 mwaka huu.Dkt. Hassan Abbasi amesema kwamba...

Anjella kuja na EP

0
First Lady kutoka Konde Gang, Anjella ameatusanua kuwepo na ujio wa EP yake itakayotoka baada ya mwezi mtukufu kumalizika akiwa na lengo na kuwapoza mashabiki zake.Hata hivyo msanii huyo anayefanya vizuri na ngoma...

Mashabiki elfu 60 kushuhudia Simba Vs Orlando Pirates

0
Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limekubali ombi la Klabu ya Soka ya Simba kuruhusu mashabiki elfu 60 kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wao dhidi ya Orlando Pirates unaotarajiwa kuchezwa Aprili 17, 2022.Mchezo huo...

Simba na Yanga uso kwa uso ASFC

0
Dakika 90 za Aprili 30 ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa zilimalizika kwa timu zote kugawana alama moja moja katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini sasa mbabe lazima apatikane katika mchezo wa...