Mwili wa Mzee Mwinyi ukiwasili Uwanja wa Amaan
Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi ukiwasili katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar tayari kwa viongozi na wananchi kutoa heshima za mwisho.Rais Samia...
Mzee Mwinyi kuzikwa leo
Mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi unatarajiwa kuzikwa leo jioni kijijini kwake Mangapwani mkoa wa Kaskazini Unguja.Kabla ya Maziko hayo, Mwili wa...
Iwe mvua iwe jua tutamuaga Mzee Mwinyi
Wananchi wakiwa katika viunga mbalimbali vya mji wa Zanzibar. Bila kujali mvua inayoendelea kunyesha wamejipanga kwenye mitaa kumuaga Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye mwili wake umepelekwa katika msikiti wa Jamii Zanj-ber kwa ajili ya...
Mwili wa Hayati Mwinyi kupita njia hizi kuelekea Uwanja wa Uhuru
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ametaja maeneo ambayo mwili wa Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi utapita kwa ajili ya kwenda Uwanja wa Uhuru kuagwa."Tumejipanga kwa msiba huu, njia...
Buriani Gardner
Mwili wa mtangazaji wa Clouds FM Gardner Habash umeagwa leo Aprili 23, 2024 kijijini kwao Kikelelwa Kata ya Tarakea wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ambapo pia unatarajiwa kupumzishwa kijijini hapo. Watu mbalimbali wakiwemo wafanyakazi wenzake,...
CCM chamlilia Mwenyekiti wake Mstaafu, Mwinyi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kupokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wake Mstaafu na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi,...
Umati wajitokeza mazishi ya kitaifa Iran
Raia wengi wa Iran wamejitokeza katika mji mkuu wa nchi hiyo Tehran, kushiriki katika mazishi ya kitaifa ya Rais Ebrahim Raisi.Rais huyo wa Iran akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo...
Kwaheri Mzee Mwinyi
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akiomba Dua wakati wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili...