JK katika tafakuri

0
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwa kwenye tafakuri nzito aliposhiriki shughuli ya kuaga mwili wa Rais wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi inayoendelea katika Uwanja wa...

Mwili wa Mzee Mwinyi ukiwasili Uwanja wa Amaan

0
Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi ukiwasili katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar tayari kwa viongozi na wananchi kutoa heshima za mwisho.Rais Samia...

Kwaheri Bweleo

0
Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ukitolewa nyumbani kwake Bweleo wilaya ya Magharibi B, tayari kuelekea kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar ambapo shughuli za kuuaga mwili huo zitafanyika...

Mzee Mwinyi kuzikwa leo

0
Mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi unatarajiwa kuzikwa leo jioni kijijini kwake Mangapwani mkoa wa Kaskazini Unguja.Kabla ya Maziko hayo, Mwili wa...

CCM chamlilia Mwenyekiti wake Mstaafu, Mwinyi

0
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kupokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wake Mstaafu na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi,...

Mwili wa Hayati Mwinyi kupita njia hizi kuelekea Uwanja wa Uhuru

0
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ametaja maeneo ambayo mwili wa Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi utapita kwa ajili ya kwenda Uwanja wa Uhuru kuagwa."Tumejipanga kwa msiba huu, njia...

Barcelona yasitisha kuchapisha jezi namba 10

0
Klabu ya Barcelona imeamua kutochapisha tena jezi namba 10 ambayo alikuwa akiivaa Lionel Messi, kutokana na mchezaji anayevaa jezi hiyo kwa sasa Ansu Fati kukumbwa na changamoto ya jezi yake kutokuuzika katika klabu hiyo.Itakumbukwa...