Ni mwanamke kwa mara ya kwanza

0
Kwa mara ya kwanza Umoja wa Mataifa umemchagua mwanamke kuwa Katibu Mkuu wa Muungano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU).Doreen Bogdan Martin raia wa Marekani, amechaguliwa kumrithi Houlin Zhao ambaye aliitumikia nafasi...

Windows 11 yatoa vipengele vipya kwa watumiaji wake

0
Ni takribani mwaka mmoja sasa tokea kampuni ya Microsoft izindue toleo jipya la mfumo wa uendeshaji wa kompyuta 'Windows 11.'Siku za hivi karibuni kampuni hiyo ya teknolojia imezindua rasmi sasisho lake la kwanza...

Microsoft kukabiliana na itikadi za kigaidi mitandaoni

0
Kampuni ya Microsoft imekuja na mpango kabambe wa kuondoa maudhui yenye viashiria vya ugaidi na vurugu mitandaoni.Mpango huo ni sehemu yao ya kazi ya kuendeleza utumiaji wa teknolojia bandia (AI) ambao unalenga katika kuwawezesha...

iphone 14 kupiga simu za dharura kupitia setilaiti

0
Kampuni ya Apple imewekeza teknolojia mpya ya kupiga simu za dharura “emegency call” kupitia setilaiti katika toleo jipya la simu ya iphone 14 ambayo imezinduliwa na kuwekwa sokoni siku ya jana.Mchambuzi Mkuu wa kampuni...

Saa za Apple na teknolojia ya utambuzi

0
Kampuni ya Apple imeachilia sokoni bidhaa yake mpya ya Apple Watch Series 8, ambayo ina vipengele vipya vya kutambua ajali ya gari pamoja na hali ya afya ya uzazi kwa wanawake.Hata hivyo toleo hilo...