Watumiaji wa facebook watahadharishwa

0
Kampuni ya Meta imewatahadharisha watumiaji wa Facebook ambao wanaweza kuwa wamehatarisha usalama wa akaunti zao bila kujua kwa kupakua na kuweka wazi taarifa zao binafsi kupitia programu hasidi.Watafiti wa usalama kutoka kampuni ya Tech...

Windows 11 yatoa vipengele vipya kwa watumiaji wake

0
Ni takribani mwaka mmoja sasa tokea kampuni ya Microsoft izindue toleo jipya la mfumo wa uendeshaji wa kompyuta 'Windows 11.'Siku za hivi karibuni kampuni hiyo ya teknolojia imezindua rasmi sasisho lake la kwanza...

Microsoft kukabiliana na itikadi za kigaidi mitandaoni

0
Kampuni ya Microsoft imekuja na mpango kabambe wa kuondoa maudhui yenye viashiria vya ugaidi na vurugu mitandaoni.Mpango huo ni sehemu yao ya kazi ya kuendeleza utumiaji wa teknolojia bandia (AI) ambao unalenga katika kuwawezesha...

Wanawake wa jamii za wafugaji wapiga mzigo mradi wa EACOP

0
Moja ya faida za mradi wa kimkakati wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani, Tanga, Tanzania ni kutoa ajira kwa makundi mbalimbali wakiwemo wanawake kufanya kazi hata...

‘GOOGLE TIMELAPSE’ YAREKODI MWONEKANO WA DUNIA 2020-2022

0
Kampuni ya kiteknolojia ya Google imeachilia kipengele kipya ‘update’ cha mfumo wa kuhesabu muda ulimwenguni wa ‘Google Timelapse’ ya miaka miwili kuonesha namna dunia imekuwa ikipitia mabadiliko mbalimbali ikiwemo ya tabianchi na kukua kwa...

Mashine ya kurekodi ndoto yapatikana

0
Umewahi kuamka asubuhi na kusahau kabisa ulichokiota na ukijua kuna uwezekano usiwahi kamwe kukikumbuka tena?.Hivi sasa Wanasayansi wamebadili mwelekeo wa dhana hiyo.Wanasayansi hao kutoka nchini Japan wamevumbua kifaa kinachoweza kurekodi ndoto ukiwa...

Kamera za ulinzi elfu 15 kutambua sura Qatar

0
Kamera elfu 15 zenye teknolojia ya utambuzi wa sura zitatumika katika viwanja nane vitakavyotumika wakati wa michuano ya kombe la FIFA la Dunia nchini Qatar itakayoanza tarehe 20 mwezi huu.Kamera hizo zitakuwa zikiwafuatilia wachezaji...

Huduma za posta kuboreshwa

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema, serikali itahakikisha huduma za posta nchini zinaendelea kuboreshwa na kukua zaidi.Amesema hatua hiyo itasaidia kuendana na mapinduzi ya teknolojia duniani na...

Namba moja kwa vifaa vinne

0
Mtandao wa WhatsApp umeongeza wigo wa utoaji huduma kwa kuruhusu mtumiaji kuweza kutumia namba moja kwa vifaa vya kielekroniki vinne.Akitoa tangazo hilo rasmi mmiliki wa mtandao huo Mark Zuckerberg amesema “Kuanzia leo, unaweza kuingia...

Wawekezaji sekta ya mawasiliano kuendelea kuungwa mkono

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wawekezaji katika sekta ya mawasiliano ambao wanaleta mageuzi.Waziri Nape amesema hayo jijini Dar es Salaam alipotembelea...