Mawakala wa utalii watembelea Mafia
Mawakala wa utalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wapo katika kisiwa cha Mafia mkoani Pwani kwa lengo la kuangalia vivutio vya utalii vinavyopatikana katika kisiwa hicho.Wakiwa katika kisiwa hicho cha Mafia, Mawakala hao pamoja na...
Dkt Shein kufungua maonesho ya utalii Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein anatarajiwa kufungua maonesho ya utalii yatakayofanyika Zanzibar kuanzia Oktoba 17 hadi 20 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Unguja, Waziri...
Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano waongeza ukusanyaji mapato
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano umeongeza makusanyo ya mapato ya serikali kwenye maeneo ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani za Rwanda,...
Wenye maeneo ya uwekezaji watakiwa kushirikiana na TIC
Watanzania wenye viwanja na maeneo makubwa nchini ambayo yanafaa kwa uwekezaji wameshauriwa kwenda katika Kituo cha Uwekezaji nchini - TIC ili kuona ni kwa namna gani wataweza kuyatumia maeneo hayo kwa ajili ya uwekezaji...
Soko la hisa la China lashuka
Soko la hisa nchini China limeshuka kwa asilimia Tano, kiwango ambacho kinaonekana kuwa ni kikubwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.Wachunguzi wa masuala ya biashara wamesema kuwa mgogoro wa kibiashara kati ya China na...
Baadhi ya tozo zafutwa kuchochea uchumi wa viwanda
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amesema kuwa serikali imefuta baadhi ya ada na tozo zisizoondoa wajibu wa muajiri kulinda afya za wafanyakazi...
NSSF kukuza uhusiano na benki za NMB, CRDB na UBA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa ya Hifadhi ya Jamii (NSSF) William Erio amekutana na kufanya mazungumzo na menejimenti za Taasisi Tatu za kibenki nchini ambazo ni NMB, CRDB na UBA.Lengo la mkutano huo...
China na Marekani zaendeleza vita ya kibiashara
China imesema kuwa italipiza kisasi kwa kutoza ushuru wa dola bilioni sitini za Kimarekani kwa bidhaa za kutoka Marekani, baada ya rais Donald Trump kutangaza kiwango cha ushuru wa ziada kwa bidhaa zinazoingia kutoka...
Tanzania yahitaji wawekezaji kutoka China
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji wakubwa kutoka China ambao watawekeza kwenye viwanda vya mazao ya kilimo, samaki na mifugo.Akizungumza jijini Beijing na Waziri wa Kilimo wa China,- Han Changfu, Waziri...
IITA yasisitiza uzalishaji wa dawa ya Aflasafe
Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo cha Kitropiki (IITA) imeanza kuwasisitiza wawekezaji wa Tanzania kuanzisha viwanda vya uzalishaji wa dawa ya kupambana na Sumukuvu ijulikanayo kama Aflasafe ili kunusuru uharibifu wa mahindi na karanga. Akizungumza jijini...