Hoteli hii ipo nchi mbili tofauti

0
Hoteli hii ndogo inayoendeshwa na familia ‘Hotel Arbez Franco-Suisse’, pia inajulikana kama L'Arbézie.Upekee wa hoteli hii ni mahali ilipo ambapo ipo katika mpaka wa kimataifa.Uwepo wa hoteli Arbez Franco-Suisse katika eneo hilo ni matokeo...

Uuzaji wa leseni za Window 10 kusitishwa karibuni

0
Kampuni ya Microsoft inayojishughulisha na utengenezaji wa programu za kompyuta, inatarajia kusitisha kuuza leseni za Windows 10 mwishoni mwa nwezi huu.Kwenye ukurasa rasmi wa “PC World” imetangazwa ifikapo Januari 31, 2023 itakuwa ni siku...

Miradi ya dola bilioni 3.68 yasajilIwa TIC

0
Waziri Mlkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha wa 2021/2022, miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya dola bilioni 3.68 za kimarekani inayotekelezwa na kampuni za India imesajiliwa kupitia...

Huduma za posta kuboreshwa

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema, serikali itahakikisha huduma za posta nchini zinaendelea kuboreshwa na kukua zaidi.Amesema hatua hiyo itasaidia kuendana na mapinduzi ya teknolojia duniani na...

Sayari inayofanana na Dunia yagunduliwa

0
Shirika la Anga za Juu la Marekani (NASA) Jumanne wiki hii limegundua Sayari nyingine yenye ukubwa sawa na Sayari ya Dunia inayoitwa TOI 700e.TOI 700e inalingana na Dunia kwa asilimia 95 na sehemu...

Waziri Nape azindua kituo cha TBC Katavi

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezindua kituo cha kurusha matangazo ya redio TBC Taifa na TBC FM kilichopo Inyonga, Mlele mkoani Katavi ambapo amesema uzinduzi huo wa kituo cha...

Nilipoteuliwa sikujua TBC ni kubwa hivi – Kagaigai

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Steven Kagaigai amesema hakuwa anaujua ukubwa wa TBC hadi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua kuwa mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo.Kagaigai amesema hayo wakati...

Redio za TBC kusikika nchi nzima mwaka 2024

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema hadi kufikia mwaka 2024 usikivu wa matangazo ya TBC Taifa na TBC FM utakuwa nchi nzima.Dkt. Rioba amesema hayo wakati akitoa...

Uzinduzi wa kituo cha TBC Inyonga, Mlele

0
Baadhi ya viongozi na wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha kurusha matangazo ya redio TBC Taifa na TBC FM kilichopo Inyonga, Mlele mkoani Katavi.Waziri wa Habari,...

Maandalizi uzinduzi kituo cha TBC – Inyonga, Mlele

0
Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Fiberto Sanga amekagua maandalizi ya uzinduzi wa kituo cha kurusha matangazo ya Redio TBC Taifa na TBC FM kilichopo Inyonga, Mlele mkoani Katavi ambapo alipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi...