Athari na suluhisho la mdororo wa uchumi

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha akiwa ndiye mwendesha mjadala wa Mdororo wa Uchumi Ulimwenguni uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano (JNICC) mkoani Dar es Salaam amesema...

Vituo 9 vya kujaza gesi kwenye magari kujengwa

0
Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya huduma ya kuunganishiwa gesi asilia kwenye magari, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa kuongeza vituo vingine vya kutolea huduma hiyo ili kukabiliana na uhitaji.Akizungumza...

Chongolo ashauri kompyuta liwe somo la lazima VETA

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameshauri vyuo vyote vya ufundi stadi nchini vifundishe somo la kompyuta kama somo la lazima, ili kuendana na teknolojia na mahitaji ya sasa ya dunia.Chongolo...

Tiktok yapigwa marufuku

0
Tume ya Ulaya imepiga marufuku wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya (EU) kutumia mtandao wa TikTok.Hatua hiyo imefikiwa kufuatia Marekani na serikali za Magharibi kupiga marufuku matumizi ya mtandao huo unaomilikiwa na China kwa sababu...

Kioo miongoni mwa bidhaa zitakazotangulia AfCFTA

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amekishauri kiwanda cha Kioo Limited kuendelea kuzalisha bidhaa za kioo kwa wingi, zenye ubora na viwango vinavyohitajika kwa ajili ya soko la Eneo Huru la...

Hoteli hii ipo nchi mbili tofauti

0
Hoteli hii ndogo inayoendeshwa na familia ‘Hotel Arbez Franco-Suisse’, pia inajulikana kama L'Arbézie.Upekee wa hoteli hii ni mahali ilipo ambapo ipo katika mpaka wa kimataifa.Uwepo wa hoteli Arbez Franco-Suisse katika eneo hilo ni matokeo...

Uuzaji wa leseni za Window 10 kusitishwa karibuni

0
Kampuni ya Microsoft inayojishughulisha na utengenezaji wa programu za kompyuta, inatarajia kusitisha kuuza leseni za Windows 10 mwishoni mwa nwezi huu.Kwenye ukurasa rasmi wa “PC World” imetangazwa ifikapo Januari 31, 2023 itakuwa ni siku...

Miradi ya dola bilioni 3.68 yasajilIwa TIC

0
Waziri Mlkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha wa 2021/2022, miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya dola bilioni 3.68 za kimarekani inayotekelezwa na kampuni za India imesajiliwa kupitia...

Huduma za posta kuboreshwa

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema, serikali itahakikisha huduma za posta nchini zinaendelea kuboreshwa na kukua zaidi.Amesema hatua hiyo itasaidia kuendana na mapinduzi ya teknolojia duniani na...

Sayari inayofanana na Dunia yagunduliwa

0
Shirika la Anga za Juu la Marekani (NASA) Jumanne wiki hii limegundua Sayari nyingine yenye ukubwa sawa na Sayari ya Dunia inayoitwa TOI 700e.TOI 700e inalingana na Dunia kwa asilimia 95 na sehemu...